Uzazi wa Mpango - Njia za kuzuia, aina ya Uzazi wa mpango na ushauri

Uzazi wa Mpango - Njia za kuzuia, aina ya Uzazi wa mpango na ushauri

Sa wewe Mmanu kwa nini unataka kumpa msichana mimba bana. Mimba wanapewa wanawake tena walio kwenye ndoa. Acha uharibifu.

Narekebisha ni mwanamke...ila naomba unitofutishie kiumri yupi ni mwanamke na yupi ni msichana
 
Last edited by a moderator:
nenda hospitali akachomwe sindano nyingine ili ku-neutralize effects za sindano ya mwanzo..
 
Wadau,

Kila mara tunasikia Uzazi wa Mpango, na kwamba ni bora na salama kwa afya ya mama na mtoto na kwa manufaa ya Familia.

Baadhi ya manufaa hayo ni;

1. Inasaidia mama kurudi hali yake ki afya ya awali.
2. Inasaidia kulea watoto kwa urahisi na kuwapa maisha bora.
3. Inasaidia mzazi kufanya shughuli za kimaendeleo, si za nyumbani tu.

Sasa basi, tokana na jamii iliyokuzunguka au wewe mwenyewe, unadhani kuna faida nyingine zaidi ya hizo hapo juu zilizotajwa?

Tafadhali naomba shiriki utujuze kile unachoelewa kwa manufaa ya ku share yale ambayo kila mmoja anaelewa.

Wasalaam!
 
Njia ya kijiti ni nzuri zaidi..
Inafunga industry hvo no production had pale utapokitoa au kitapomaliza mda wake.

Kitanzi ni mbaya mana inafunga barabara kwa maana ya mirija ya usafirishaji. Kiwanda kinazalisha ila hakitoi. Hio husababisha kujaza uchafu ktk mirija na kuleta madhara badae.

Sindano na vidonge ni mbaya maana zile chemicals hubaki ktl damu na pindi unapotaka kupata mtt zile chemical huleta madhara kwa kijusi au yai linakuwa na deffects hvo kukpa mtt mwenye deffects.

Kukojoa nje sio very safe mana papuchi ni magnetic kwamba huvuta mbegu za baba ndani na pia mda wa kulegeza chaga wakat mwingine mbegu hutoka kidogo kidogo kabla ya mshindo wa nyingi(bao).

Kondoms sio very safe maana kna mda utamu ukizd watu wanakuwa na mbwembwe nyingi kitu kinachoweza kufanya ndom ipasuke bila ya wanajig jig kujua.

Best way ni kusoma kalenda kama mwajielewa na mnazimudu ashki zenu au kutumia kijiti japo kinaondoa appitite ya game kwa mama
 
Hakuna njia nyngne nzur zaid ya kutumia kalenda au withdraw method (japo inachangamoto zake) lakn njia nyngne zna madhara.
 
ndugu yangu masai dada hakuna njia nyngne nzur zaid ya kutumia kalenda au withdraw method (japo inachangamoto zake) lakn njia nyngne zna madhara.
kitanzi vipi ndugu

jamani naomba mtoe uzoefu wenu ukisema mbaya sema na madhara yake ni yepi
 
Kitanzi co kizur kwan inahtaj kwanza uwe msaf wa hali ya juu pili kikifyatuka usipopata msaada wa karibu unaweza aga dunia tena hcho ucjarbu kabisa
 
ku du kwa ratiba?

changamoto sana

vipi kama siku zinabadilika

Kama hautaogopa kupoteza hedhi yako for 18 months then choma depo bt unaweza boost mayai ya kike kama utahtaj kubeba mimba kwa kumeza dawa ziitwazo "chlomifene citrate"
 
kitanzi vipi ndugu

jamani naomba mtoe uzoefu wenu ukisema mbaya sema na madhara yake ni yepi
Kitanzi kuna mtumiaji mmoja alinambia kinamuumiza na pia kinasogea hivo waweza ku conceive
sindano zinafanya mtu ableed sana afu kuja kupata tena mimba ni bahati nasibu
vidonge mbali na kunenepaa au kukonda vinachefua unahisi kufwa kufwa tu, afu sio rahisi kukumbuka kila siku kumeza
kalenda ndio nzuri japo mmh mmgegedo wa kupima kwa kibaba nao yataka moyo
 
Faida yake ni kubwa kuliko hasara....
Hapo kwenye siku kubadilika ndo sijui kwa kweli

Kuna doctor aliwahi nambia eti hata siku zikibadilika bado ovulation itabaki ilele, maana huwa hazibadiliki saaaana, ngoja nitamuuliza zaidi maana sikuwa serious that day
 
tukiacha kondom ni njia gani nzuri kwa afya yako

ukisema ni mbaya njiq flani jaribu kuelezea madhara yake

usishushe madesa wala kutoa Link
please tupe uzoefu yakinifu

kwa wale ambao siku zao hazibadiliki kalenda ni nzuri.withdraw nzuri ila mwanaume anaweza shindwa chomoa mambo yakimzidia.vidonge ukitumia vizuri una uhakika wa 98% ya kutopata mimba ila sasa kuna kusahahu,kunenepa au kukonda kama walivyosema wachangiaji waliopita na wakati mwingine ukinywa hasa miezi mitatu ya mwanzoni unajiskia kichefuchefu au kutapika nk.lakini pia kwa watu ambao hawana mzunguko mzuri yaani siku zinapishana eg,28,35,40 au anaruka hata miezi vidonge vinasaidia kurekebisha mzunguko wako.sindano na vitanzi sijui japo ninarafiki yangu aliwekewa kitanzi na mimba alipata.hizi nia zote haziko perfet 100%

topic nzuri DADA
 
Back
Top Bottom