Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunashukuru kwa ujumbe, watumiaji watakua wamekuelewa ila kwa hakika uzazi wa mpango ulitakiwa ufanywe na wanaume na si wanawake maana uwezo wa mwanamke kubeba mimba kwa mwaka ni Mara 1 yaani miezi 9 lakini mwanaume anauwezo wa kizalisha wanawake 100 kwa mwaka huo huo mmoja, hebu wanaume mtupunguzie masahibu haya wanawake
Kabisa yaaniHaya matakataka ya kishenzi sana
Kama atakuwa anakula Dagaa, Maharage, Mnafu na Mbilimbi anaweza kuanza kuona ' Hedhi ' yake baada ya miezi 9 mpaka 12
ILA
Kama atakuwa anakula Kuku, Nyama, Chips, Mayai, Maziwa, Makange, Samaki na Tambi anaweza akaanza kuona ' Hedhi ' yake baada ya miezi 2 mpaka 3.
je uwezekano wa kupata mimba hapo ni baada ya mda gani??
je anaweza kupata mimba kabla hata hajaziona siku zake kwa mara ya kwanza??
Vitu kama ivi lazima mama aulize kipindi anashauriwa kuchagua njia ya uzazi wa mpango kua endapo ataacha anaweza kupata mimba baada ya mda gani.
Kuna wengine wanapata mimba mapema tu wakiacha ila wengne wanaweza kuchelewa mpaka miezi 10 au mwaka ivi.
Note: Inazuiliwa kutumia njia za muda mfupi kama sindano au vidonge kwa muda mrefu, Ni vyema ukatumia njia za muda mrefu kama unapanga kuepuka mimba kwa muda mrefu.
Kweli kabisa yani elimu inahitajika sana kabla hawajaanza kutumia ingepunguza sana hizi shida wanazopata.Tatizo ni huu utitiri wa maduka ya dawa..akina mama wengi wanaona unafuu kwenda kwenye maduka kuchoma sindano badala ya kwenda hospitali/kliniki kuweka vipandikizi..sasa hiyo elimu sahihi ya uchaguzi wa njia bora ya uzazi wa mpango kwenye haya maduka ndio shida..
Wa taa ala muna wa masuala ya Afya yauzazi tusaidieni.....
Nimekupa elimu hii ili upunguze maswali na uokoe muda wakati wa kuchagua njia sahihi kwako ufikapo pale kwenye kituo kinachoshughulika na utoaji elimu ya uzazi wa mpango. Hata hivyo kama wewe unajijua kabisa kuwa wewe mwenyewe au kwenye ukoo wako kuna historia ya kuwa na shida ya pressure kupanda au kushuka, uzito wako ni mkubwa sana, una uvimbe kwenye kizazi, matiti au sehemu yoyote, una shida ya kisukari, kuumwa kichwa, HIV, TB, saratani au shida ya ini tafadhali usichague njia hizi za hormonessijui njia ipi inafaa bila kondomu utamu haupo tunabaki njia panda tu ukisema upige ukojoe nje inang'ang'ania shida tupu haka kamchezo
hapo kwenye dawa za uzazi wa mpango kwa kumeza hapo mm ninavyoelewa ni kuwa kam ulivyosema dawa zote hizo ni hormones ss kama ni hormones na tunavyojua ni kuw hormones ni protein in nature na zikipita kwa alimentary canal lazima zimeng'enywe kwenye tumbo la chakula kutokana na gastric juice iliyopo hapo na kisha itavunjwa vunjwa hadi kuisha kabisa na kugeuzwa source ya nguvu (energy in form of ATP) mm ninavyoelewa ndiyo hivyo .ss kwa mujibu wa maelezo yako hapo kwenye kumeza hapo inakuwaje kuwaje na hizo ni hormones????
Nataka kuanza kutumia calendar na mke wangu. Vipi hapo?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]![]()
Kwa niaba ya mwenye kiti
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app