blea
JF-Expert Member
- Nov 14, 2011
- 379
- 114
Elimu ya uzazi wa mpango itolewe kwa uwazi zaidi ili jamii ielewe. Athari za mimba zisizotarajiwa ni nyingi mno kiafya na kiuchumi.
tunapoteza vijana wengi kwa kufumbia macho hii elimu ya uzazi
Familia inakosa malezi bora kutoka na wingi wa watoto pia kama atatoa mimba mama anaweza kupoteza maisha au akinusurika kufa afya yake itakuwa duni tofauti na kabla hajatoa mimba