Uzazi wa Mpango - Njia za kuzuia, aina ya Uzazi wa mpango na ushauri

Uzazi wa Mpango - Njia za kuzuia, aina ya Uzazi wa mpango na ushauri

Elimu ya uzazi wa mpango itolewe kwa uwazi zaidi ili jamii ielewe. Athari za mimba zisizotarajiwa ni nyingi mno kiafya na kiuchumi.
tunapoteza vijana wengi kwa kufumbia macho hii elimu ya uzazi
Familia inakosa malezi bora kutoka na wingi wa watoto pia kama atatoa mimba mama anaweza kupoteza maisha au akinusurika kufa afya yake itakuwa duni tofauti na kabla hajatoa mimba
 
Asante kwa somo, mi nimependa hiyo ya emergency contraceptive, maana mianaume yetu kondomu kwao ni tatizo.
 
Katika nyinginezo zinazo deal na hormones,kwa mwanamke ambae bado hajashika mimba na ana plan ya kubeba mimba baadae,hashauriwi kutumia njia ya sindano [ depo provera ]. Sina maelezo ya kutosha zaidi ya kusema kwa walio wengi effects yake ni za muda mrefu ambazo huwezi kuziondoa hadi ziishe zenyewe. Katika field works,experience inaonyesha mwanamke aliekuwa under depo provera kwa kipindi cha mwaka mmoja au zaidi huchukua miezi 6 hadi miaka miwili kuweza kushika mimba toka last dose ya depo provera.Njia nyingine,mathalani kwa implant
mara nyingi once ukitoa kijiti effects yake inaisha haraka zaidi. Na inawezekana mwanamke akashika mimba katika cycle inayofuata. Pia kwa Vidonge [pills ]once ukiacha kumeza
nguvu yake inaishia hapo.
 
haaaa,
tubadilishane mawazo, binafi nna miaka 31....
cjaoa na thina mtoto.....

tafadhali,
katika mahusiano niko makini kutumia hii njia, nakojoa shahawa zangu nje!!!

wakati nasoma, nilishawahi kuwa na gf akawa linakuja kukaa wiki kadhaa lakin hii njia ilinisaidia, haadi naachana nae cna taabu na mimba.....

yaani ilifika hatua nikifikiria kukojoa ndani naona kero, ciwez kabisa!!

anyway, itanilazmu kufanya hvo mwaka nitapopata mke wa kuoa au nikioa....

maswali!!

1. kuna wanaume wenzangu mnaitumia hii njia? ingawa naona walio wengi wanashindwa. marafiki zangu nikiwahamasisha hawataki kabisaa.

2. vp wanadada, mnajisikiaje jamaa akichomoa na kuweka maji njee.

binafsi nilijifunzia hii mikanda ya X, enzi zile nipo boys high school!!!
 
huo ndo mpango mzima mkuu! but nafikiri wanawake hawaipendi hii coz unawanyima utamu wa ile kitu ikitoka! hii ipo applicabo kwa she unayemwamini koz utakuwa kavu kavu mkuu!
 
ngoma likikolea c rahisi na manzi mwenye kwani hajua kukumbatia! ile ki2 wakati anaipokea nae anai-feel!
 
huo ndo mpango mzima mkuu! but nafikiri wanawake hawaipendi hii coz unawanyima utamu wa ile kitu ikitoka! hii ipo applicabo kwa she unayemwamini koz utakuwa kavu kavu mkuu!

shukrani kaka,

unapokuwa na yule wa kuaminiana, hii njia swadaktaa......
 
ushawahi kata gogo pembeni ya tundu la choo???
Mi namwaga ndani,ishu ya mtoto tutajua baadaye coz mpaka imefika stage nafanya naye unprotected sex it means namwamini na nipo tayari kuwa naye na kulea mtoto
 
mmmm,
kaka Iddi, mtengeneze manzi akojoe kama mara 2 au 3.... then pale akikaribia kuchoka ndo unajikusanya unapease kwa nje, kirahisi. alafu, mwanaume lazima unajua kwamba unakaribia kupizi, sawa!!!!
 
Dr,

sasa utazaa watoto kama JK.
 
mmmm,
kaka Iddi, mtengeneze manzi akojoe kama mara 2 au 3.... then pale akikaribia kuchoka ndo unajikusanya unapease kwa nje, kirahisi. alafu, mwanaume lazima unajua kwamba unakaribia kupizi, sawa!!!!

Sijui kwanini ila silipendi hilo neno sijui kukojoa au kupee/kupease
 
Mkuu Kaunga,
tutumie neno gani mbadala!? au tuite hadidu rejea, kweli itafaa!!!!???
 
Mpango mzimaaaa
kaka umenigusa sana.Binafsi nina kadem kangu tangu kapo fom1 mpaka sa hv kanaingia f6 cjawah kukamwagia ndan coz naona ni kumtaftia matatzo na kama nsingekuwa nafanya hvo sa hvi cku nying ana mtoto na angekatsha masomo.Ni ngumu kuifanya but kwa tulio wachache inatusaidia kuepuka kuzaa na watu tusiowahtaj in future.Big up mkuu endeleza libeneke
 
ushawahi kata gogo pembeni ya tundu la choo???
Mi namwaga ndani,ishu ya mtoto tutajua baadaye coz mpaka imefika stage nafanya naye unprotected sex it means namwamini na nipo tayari kuwa naye na kulea mtoto

Hahaha umenichekesha kweli lol....pembeni ndo mpango mzima!!!!..Ni kujitwist tu cycologically, its safe as long as unamuamini demu...Otherwise kama huwezi tumia condom
 
Ieleweke kuwa hii njia ya"pull out method" huzuia mimba kama unajitambua vilivyo (yaani unajua wakati gani unakaribia a point of no return) na pili kama hakuna shahawa kwenye precum. Lakini kama umesha cum mara ya kwanza halafu ukachomoa ili uendelee raundi nyingine basi uwezekano wa shahawa zilizo baki kwenye urethra kutoka na precum na kusababisha conception ni mkubwa.

Chakufanya baada ya ku-cum nenda msalani kakojoe ili kuua wanajeshi (sperm) waliobakia kwenye urethra kwasababu mkojo una tindikali inatakayoua hao wanajeshi. Baada ya hapo endelea kama kawa la sivyo unatakua unacheza tuu.
 
Back
Top Bottom