Uzee dawa: Msikilize Jenerali Ulimwengu

Uzee dawa: Msikilize Jenerali Ulimwengu

Huyu mzee ugali wake wa Gazeti la Raia Mwema ulitingishwa kidogo ndiyo maana anahaha. Wengi wanaoponda serikali ya awamu ya tano walikuwa wanafanya biashara za kanjanja kanjanja wakazinguliwa.
 
Nasubiri aseme na mazuri pia.

Kila mtu ana upande wa anaoutaka. Wapenda maendeleo tuliona mazuri tuu.
Kweli kabisa hebu sema mazuri sio wanasema mabaya tu.

Alafu ukimaliza kusema mazuri kuwa ww ndg yake ben rabiu saanane au Azory Gwanda kisha uje tena kusema mazuri
 
Wala siyo uzee nadhani nchi yetu inaongoza kwa kuwa na wazee wajinga na wanafiki kuliko nchi zote duniani, ni hawa wachache tu ndiyo wanaojielewa
Kule uganda na Rwanda kuna wazee waliokufa kabisa.
 
Huyu mzee ugali wake wa Gazeti la Raia Mwema ulitingishwa kidogo ndiyo maana anahaha. Wengi wanaoponda serikali ya awamu ya tano walikuwa wanafanya biashara za kanjanja kanjanja wakazinguliwa.
Magu alikuwa mnywa damu. Hili alijichafua yeye mwenyewe na nyie mliompa kiburi cha ujinga mwisho yuko kuzimu motoni.
 
Mwongo saaana huyu jamaa, hakumbuki alivyo rushwa kichura na mkapa na kikwete. lijamaa fekiiiiii, ache kunywa mapombe kama mwenda wazimu, jijitu zima ovyooooooo
 
Magu alikuwa mnywa damu. Hili alijichafua yeye mwenyewe na nyie mliompa kiburi cha ujinga mwisho yuko kuzimu motoni.
Siyo kweli, Magu alikuwa zawadi toka kwa Mungu.

Nafananisha Uongozi wa Umma kama ujenzi wa barabara.

Huwezi kuchonga barabara bila kukata miti. Sisi tulioitaji barabara tunampongeza Magu kwa kazi nzuri Sana, Nyie wana mazingira mtamshutumu kwa uharibifu wa mazingira anghali hiyo barabara iliyochongwa mnaitumia.
 
labda mungu wa chatle
 
Back
Top Bottom