Uzee dawa: Msikilize Jenerali Ulimwengu

Uzee dawa: Msikilize Jenerali Ulimwengu

Huyu mzee ugali wake wa Gazeti la Raia Mwema ulitingishwa kidogo ndiyo maana anahaha. Wengi wanaoponda serikali ya awamu ya tano walikuwa wanafanya biashara za kanjanja kanjanja wakazinguliwa.
Na mbabe aliyemtingisha Yuko wapi Siku hizi?sikamsikia Muda Sasa.
 
Kasubiri JPM kafa ndio kaamua kumsema Kabudi akiamini hana mtetezi. Anaweza kuwa mkweli lakini ni muoga pia.
 
Nimeamini kuwa uzee ni dawa na kuishi kwingi ni kuona mengi.

Msikilizeni huyu mzee wetu alafu lazima utajifunza kitu cha kukusaidia maishani mwako.

Tatizo haya wanayasema baada ya Magufuri kufariki mtu mzima mwenye hekima na busara alitakiwa kutokuwa mwoga na akasema akiwa hai. Vinginevyo ni unafiki mtupu hata kama yana maana
 
Tatizo haya wanayasema baada ya Magufuri kufariki mtu mzima mwenye hekima na busara alitakiwa kutokuwa mwoga na akasema akiwa hai. Vinginevyo ni unafiki mtupu hata kama yana maana
Ndiyo amesema Sasa, mtamfanyaje?faida za legacy za hovyo ndio hizi Sasa.
 
Sisi Jamii ya Wabantu wa Mashariki ya Afrika tuna hulka ya uoga na unafiki.

mjdontknow.png

Ukweli ndio huo
 
Back
Top Bottom