Uzee: Maana, kuzuia uzee wa mapema,changamoto na jinsi ya kuwatunza wazee

Uzee: Maana, kuzuia uzee wa mapema,changamoto na jinsi ya kuwatunza wazee

i shall no longer be a prisoner of money,,,
naenda kuishi kama bushman in God Must be crazy,,YOLO
 
Kweli mkuu pesa haina heshima ila mzee kama huyo ushauri wa kumpa ni arudi kijijini akadeal na kilimo kwa kasi ya mjini ana pumzi ya kubattle nayo.
 
Tafuta pesa bebe rafiki la sivyo vyura utaviona vinakupita kwa kunesa nesa tu
Kumbe wanawake, janga la wanaume mnalielewa dhahiri!
Ukiitwa masikini, ni pa1 na kukosa uwezo wa kununua ama kuhodhi hayo makitu.
 
Vijana kama ni muda wa kutafuta pesa ni sasa, Muda wa kusaka shekeli ili usiaibike uzeeni ni sasa,

inasikitisha leo nimepishana na mbaba mmoja hivi ukimwangalia kama mzee lakini anaonekana ni wa umri wa kati ya miaka45--50 hivi akiwa na Fuko akiokota makopo, kiukweli ukimwangalia ni ana nguvu kabisa nilivyosogea karibu yake akanisimamisha na kuniomba mia tano na kusema hajala tangu jana,

Nashukuru Mungu nilikuwa na senti maana mimi mwenyewe bado apeche alolo tu sina ata mee nikamuachia Buku lakini nikaondoka na kujiuliza maswali mengi,

Kwa Umri wake anaonekana kabisa ni baba mwenye familia je Watoto wake wanaishije?
Kama baba mtafutaji hajala tangu jana kwa mujibu wa maneno yake huko familia yake inaishi vipi?
Watoto zake wanasoma kweli? Anamudu vipi gharama za kuwanunulia uniform au daftari wanae kwa hali ile?
Ana Akiba yeyote kweli kusema kwamba Akipatwa na tatizo la ghafra kama Ugonjwa inaweza kumsaidia?

Nilijiuliza maswali mengi aswaa na mengi kati ya hayo sikuwa na majibu nayo?

Vijana Tutafute pesa tukiwa na huu mwili wa ukijana Uzee wetu unakuja usipojipanga sasa Uzee wako utakuwa ni uzee wa kuteseka,.


Cc Zero IQ
Huyo uliompa mia tano atakuwa TISS yani wanaswaga za kishamba sana za kujidisguise.
 
Sijawahi kumwamini omba omba yoyote anaetokea dodoma hata akilia shida kiasi gani, yaani ni wasanii balaa
 
Kumekuwa na wimbi la watu kutaka kubaki vijana daima lakini pia hoja mchanganyiko juu ya ujana na uzee.je ujana unaishia wapi na uzee unaanzia wapi?
 
Kumekuwa na wimbi la watu kutaka kubaki vijana daima lakini pia hoja mchanganyiko juu ya ujana na uzee.je ujana unaishia wapi na uzee unaanzia wapi?
Kwa mwanaume uzee unaanza pale unapojikuta unakojoa bao 1 tu kwa wiki. Unapojikuta ukilala viungo vya mwili zinauma, unapojikuta unapoteza kumbukumbu haraka nk
 
Uzee unaanza umri wowote kuanzia miaka 18.Uzee ni fikra sio umri.
Kuna watu wana umri mdogo ila mambo yao kama vikongwe.
Anavyovaa,anavyochukulia mambo,mwoga kutoa maamuzi,muda mwingi hana furaha,analalamika muda wote kwani hana cha kufanya.Anahukumu maisha ya watu anaoona wanastahili kuishi kama yeye Mzee.
 
Kama huna pesa hata ukiwa na miaka 18 watakuita mzee.
Pesa ikiwepo hata 60 ni kijana. Peaa huchelewesha makunyanzi.
 
Back
Top Bottom