Uzee: Maana, kuzuia uzee wa mapema,changamoto na jinsi ya kuwatunza wazee

i shall no longer be a prisoner of money,,,
naenda kuishi kama bushman in God Must be crazy,,YOLO
 
Kweli mkuu pesa haina heshima ila mzee kama huyo ushauri wa kumpa ni arudi kijijini akadeal na kilimo kwa kasi ya mjini ana pumzi ya kubattle nayo.
 
Tafuta pesa bebe rafiki la sivyo vyura utaviona vinakupita kwa kunesa nesa tu
Kumbe wanawake, janga la wanaume mnalielewa dhahiri!
Ukiitwa masikini, ni pa1 na kukosa uwezo wa kununua ama kuhodhi hayo makitu.
 
Huyo uliompa mia tano atakuwa TISS yani wanaswaga za kishamba sana za kujidisguise.
 
Sijawahi kumwamini omba omba yoyote anaetokea dodoma hata akilia shida kiasi gani, yaani ni wasanii balaa
 
Kumekuwa na wimbi la watu kutaka kubaki vijana daima lakini pia hoja mchanganyiko juu ya ujana na uzee.je ujana unaishia wapi na uzee unaanzia wapi?
 
Kumekuwa na wimbi la watu kutaka kubaki vijana daima lakini pia hoja mchanganyiko juu ya ujana na uzee.je ujana unaishia wapi na uzee unaanzia wapi?
Kwa mwanaume uzee unaanza pale unapojikuta unakojoa bao 1 tu kwa wiki. Unapojikuta ukilala viungo vya mwili zinauma, unapojikuta unapoteza kumbukumbu haraka nk
 
Uzee unaanza umri wowote kuanzia miaka 18.Uzee ni fikra sio umri.
Kuna watu wana umri mdogo ila mambo yao kama vikongwe.
Anavyovaa,anavyochukulia mambo,mwoga kutoa maamuzi,muda mwingi hana furaha,analalamika muda wote kwani hana cha kufanya.Anahukumu maisha ya watu anaoona wanastahili kuishi kama yeye Mzee.
 
Kama huna pesa hata ukiwa na miaka 18 watakuita mzee.
Pesa ikiwepo hata 60 ni kijana. Peaa huchelewesha makunyanzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…