Uzembe Bandarini na TRA-Mwakyembe Chukua Hatua Please

Bobby

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2008
Posts
2,182
Reaction score
1,896
Habari Wakuu!

Wiki tatu zilizopita niliimport mzigo toka UK. Mzigo ulilipiwa before kufika so nikajua immediately baada ya kufika utakuwa cleared. Bahati mbaya haikuwa hivyo porojo a kesho kesho hazikwisha mpk grace period ya 7 days ikaisha. Hicho kipindi kilipoisha ndio wakasema chassis no imekosewa. Nikajiulizana na kuumia sana kwanini wasubiri wk nzima kunieleza kuhusu chassis no wakati wangeweza kufanya hivyo wakati wa kufanya offloading. Anyway kwakujua kuwa wao wameshika mpini sikutaka ubishi niliwasiliana na shipper akatuma manifest corrector immediately.

Ni wk ya pili sasa toka niwakabidhi hiyo manifest corrector kila siku ni kesho kesho. Mara nenda TRA, oh nenda TPA oh nenda Shipping Line. Kwa hali ilivyo huenda nikalipa storage charges za wk mbili bila sababu za msingi. NInajiuliza wale wazambia,wamalawi na wengineo wataendelea kulipa gharama hizi za kijinga mpk lini plus gharama za hotel? Kwanini wasihamie ports nyingine zisizokuwa na upuuzi kama huu?Mwakyembe please chukua hatua ondoa huu ujinga unaotusababishia hasara individually bila sababu lakini pia in long run unakosesha mapato kwa Taifa ambayo tunayhitaji sana.

Wazoefu, natakiwa kufanya nini? Documents zote wanazo mzigo hawautoi port na mwisho wa siku ni mimi ndio nalipa storage charges si wao.
 
TRA ni majanga mkuu wangu bado wanafanyakazi kwa mazoea
 
TRA ni majanga mkuu wangu bado wanafanyakazi kwa mazoea

Mkuu Ngongo acha kabisa bado wako Enzi za ujima kabisa. Issue ndogo ya dakika chache tu inachukua wiki nzima. Mpaka nahisi wanafanya makusudi ili walipwe storage charges kama ndivyo basi hawa ni wagonjwa wa akili hawa si bure.
 
Hii yako cha mtoto..
Mie nimetoka Carry kutoka Zanzibar tu cha moto nimekiiona.Sijui kama wewe hujaambiwa System ipo Down.
Nahisi kama mchezo vile.Yaani pamoja na Teknolojia yote na kusema wafanye kazi masaa 24 ndio balaa linazidi.
Tuajiri wakenya wa Bandari ya Mombasa kwa miezi 6,ili watuambie ugonjwa wetu.
Warundi wanapiga kelele kila siku kwa urasimu na usumbufu wa pale. Mbaya Zaidi hawapo very clear. Yaani hatua ya mwisho ukitaka kulianzisha ndio wanakuambia.Gari yenyewe ikitoka haijaibiwa kitu ushukuru mungu.
 

Mzee wa marashi hawa jamaa wanaboa sijapata kuona. Kutwa kucha wanalalamika mapato hayatoshi wakati wanayaacha wenyewe yakipotea kijinga kabisa. Kama vp tubinafsishe kama tulivyofanya TBL na kwingineko huenda efficiency itaongezeka kdg otherwise kwa style hii maendeleo kwetu ni ndoto za alinacha.
 
Wazoefu, natakiwa kufanya nini? Documents zote wanazo mzigo hawautoi port na mwisho wa siku ni mimi ndio nalipa storage charges si wao.

Mkuu pole na usumbufu shipping line gani umetumia kuimport huo mzigo wako
 
Ulitakiwa utumie agents...umlipe na pesa za hongo...

Nimetumia agent na sasa ni wk ya pili toka nimelipa ushuru, jana ndo wananiambia chassis number imekosewa, nauliza aliyekosea hta jibu sipati. Hii nchi bado sana, labda hawa wenye yadi wanahusika ili mtu alipe storage charges
 


Mkuu
Napata mashaka na malalamiko yako kwasababu,
1:hakuna raia binafc anayeruhusiwa kufanya clearance ya container au gari isipokua agent ktka kampuni inayotambulika na mamlaka(clearing and forwarding agent) je ww ni agent au mmiliki wa mzigo?

2:umeongelea chasis no kukosewa na manifest ikatumwa upya hili co tatizo la mamlaka ila ni kampuni iliyoagiza mzigo kutoka huko au wa hapa nchini hvyo kama ilitumwa ina maana transcerd itatoa ushuru halali na ukafwatilie gar kwa mda husika endapo agent wako atakua active.

3:kama ulijaza form ya kucomplain kwa delay ya gari na umekamilisha kodi.tafdhali fika mamlaka ya bandari ya taifa (t.p.a) leggall department ukiwa na majina kamili ya kampuni unayoitumia kuclear mizigo yako na stakabadhi zote za malipo.

Hivyo basi,
Ndugu zangu watanzania mamlaka ya taifa ya bandari haiusiki na clearance ya magari wala container isipokua inaratibu shughuli zote za uingiaji na utokaji wa mizigo na kutoa kibali cha mzigo kutoka bandarini.mamlaka imewapatia dhamana makampuni mbali mbali binafc kushughulikia utoaji wa magari ndani ya bandari kufikia mawakala wa uhifadhi magari mpaka kwa watumiaji hivyo hivyo kwa upande wa containers.

Pole sana ndugu yangu kwa usumbufu ulioupata ila jitahidi sana kumbana agent wako akupe ukweli wa nini kinaendelea huenda anashughulika na kazi ya mtu mwingine yako anakupiga calendar.

Nawasilisha
 
Nimetumia agent na sasa ni wk ya pili toka nimelipa ushuru, jana ndo wananiambia chassis number imekosewa, nauliza aliyekosea hta jibu sipati. Hii nchi bado sana, labda hawa wenye yadi wanahusika ili mtu alipe storage charges

Niamini mimi mkuu tatizo liko kwa agent kwasababu utoaji wa mzigo kwa haraka ndani ya bandari hutegemea na wepesi wa kujituma na uaminifu wa agent mkuu.
 
Mkuu pole na usumbufu shipping line gani umetumia kuimport huo mzigo wako

Mkuu ungejibu kwanza hili ,ili tujue tunakusaidiaje, ila ki ujumla agent wako anafahamu nini kinaendelea juu ya mzigo wako, maagent wengi na hasa wazoefu sio waaminifu hata kidogo
 
Nimetumia agent na sasa ni wk ya pili toka nimelipa ushuru, jana ndo wananiambia chassis number imekosewa, nauliza aliyekosea hta jibu sipati. Hii nchi bado sana, labda hawa wenye yadi wanahusika ili mtu alipe storage charges

Hapo ndipo wanaboa inakuwaje wk mbili nzima zitumike kujua issue ndg kama ya correctness ya chassis no? Zile 7 days wanazotoaga ziko meant kutumika kurekebisha errors kama hizo za chassis no etc. Sasa kama wk mbili zinahitajika kugundua errors kama hizi then waongeze grace period ili kuwe na muda wa kurekebisha hayo makosa kama yapo otherwise consignees tutakuwa tunaadhibiwa kwa makosa ambayo hatujayatenda which is very unfair kiukweli!
 

...maneno hayo ni mazuri kuyasoma....lakini behind the scene...ni nyinyi mnaoshirikiana na TRA kuanzisha makampuni ya clearing....huku mkiweka watu wenu ndio washughulikie.....majamaa zenu wakiwaambia mteja huyu pesa yake ndogo.....basi na nyie mnafanya kusudi kuchelewesha process ambazo are quite simple and straight.......hiyo ni network yenu ya ulaji......unamkomoa mtu ili ufaidike nini!!?

Acheni huo unyama kwa Watanzania wenzenu......nyinyi mnafikiri mme-win kwa kupata hizo pesa haramu......trust me zitakuja kuwatokea puani very soon.....
 

Mkuu Primking thanks! Majibu yangu ni haya!

1. Hukunisoma vzr mm c agent bali mm ni mwenye mzigo. Nilichoreport hapa ni kile kinachofanywa na agent ambaye ninafuatana naye kote huko nilikotaja kwan mwisho wa siku ni mm ndiye ninayelipa gharama.

2. Hakuna niliposema kwamba TPA ndio wanaclear mzigo. Concern hapa ni kwamba kwanini ichukue 7 days kujua kwamba chassis no imekosewa? Nilipohoji hili niliambiwa mizigo iliyopangiwa ICDs ilichelewa kuhamishwa toka port ndio maana wamechelewa kujua hilo. Hii ni issue ya TPA moja kwa moja kwani c kazi yangu kuhamisha mzigo period.

3. Ni kweli kama ulivyosema error ya chassis no ni ya shipper na c TPA lakini TPA wanahusika kwenye hili kwani wamemaliza grace period yote kujua tatizo na kukawa hakuna muda wa kurekebisha tatizo and this is very very unfair.

4. Mkuu ni wk ya pili hii inaenda baada ya shipper kusubmit manifest corrector. Siku zinakatika tu, kila siku mara system iko down. Mara oh mzigo wako ulikwishatoka kwenye system wakati si kweli na upuuzi mwingine kibao. TPA na TRA wanaoperate as if mmoja yuko Congo mwingine yuko Dar hawako harmonized kbs. Issue ya few mnts ya mawasiliano ya hizo agents mbili inaweza kukata wk nzima huu ni uzembe tu hakuna lugha nyingine. Zipo rumours kwamba ucheleweshaji huu unafanywa makusudi ili wenye ICDs wapate pesa za storage then wanashare hiyo cake na waliosababisha. Kwa haya yaliyonikuta nashawika kuamini hili.

Mkuu unasound kama msemaji wa TPA so may be unatetea mkate wako its fine but ukweli utabaki kuwa TPA na TRA pale bandarini ni WAZEMBE MNO truth be told kama ni makusudi au vinginevyo wanajua wao. Nina mifano kadhaa ya kuthibisha hili si issue hii yangu pekee mkuu.
 
Mkuu Ngongo acha kabisa bado wako Enzi za ujima kabisa. Issue ndogo ya dakika chache tu inachukua wiki nzima. Mpk nahisi wanafanya makusudi ili walipwe storage charges kama ndivyo basi hawa ni wagonjwa wa akili hawa si bure.

Wanatengeneza mazingira ya Rushwa tu hao!!
 

Ogah I couldnt agree more with you kwenye hili. Hii nchi inakera sana kiukweli watu wanataka kula kila sehemu hata huruma kdg hawana. Mtu unafight kihalali unawekewa vigingi kila sehemu ili watu wale pesa yako. Mambo ya kijinga sana yanaendelea pale port kati ya TPA na TRA . Yaani wizi wa wazi wazi hizi government agents zinafanya kwa raia wake wakati zilipaswa kufanya kinyume chake kuwasupport hawa raia. Na hili linawezekana nionavyo mm sababu ya ukondoo wa watanzania, utawanyanyasa watalalamika period yameishia hapo hakuna la ziada. Mkuu Mwakyembe bado una kazi kubwa sana pale port, kufungua office Lubumbashi wakati port imeoza kiutendaji sidhani kama kutasaidia sana.
 

Mkuu naomba kubatilisha kauli yako mimi sio msemaji wa mamlaka isipokua najaribu kukupa uhalisia wa utendaji wa mamlaka ya bandari.

Mkuu bobby kama swala ni la uchelewaji wa mizigo iliyopangiwa icd ilichelewa kuhamishwa ni matatizo tu ya kiutendaji na kibinadamu pia ndgu yangu ila hiyo haikufanyi wewe kuchelewa kupata mzigo wako kwa wiki mbili.

Bado nasisitiza fika mamlaka na agent wako kitengo cha malalamiko hapo ndo utajua mbivu na mbichi mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…