Habari Wakuu!
Wiki tatu zilizopita niliimport mzigo toka UK. Mzigo ulilipiwa before kufika so nikajua immediately baada ya kufika utakuwa cleared. Bahati mbaya haikuwa hivyo porojo a kesho kesho hazikwisha mpk grace period ya 7 days ikaisha. Hicho kipindi kilipoisha ndio wakasema chassis no imekosewa. Nikajiulizana na kuumia sana kwanini wasubiri wk nzima kunieleza kuhusu chassis no wakati wangeweza kufanya hivyo wakati wa kufanya offloading. Anyway kwakujua kuwa wao wameshika mpini sikutaka ubishi niliwasiliana na shipper akatuma manifest corrector immediately.
Ni wk ya pili sasa toka niwakabidhi hiyo manifest corrector kila siku ni kesho kesho. Mara nenda TRA, oh nenda TPA oh nenda Shipping Line. Kwa hali ilivyo huenda nikalipa storage charges za wk mbili bila sababu za msingi. NInajiuliza wale wazambia,wamalawi na wengineo wataendelea kulipa gharama hizi za kijinga mpk lini plus gharama za hotel? Kwanini wasihamie ports nyingine zisizokuwa na upuuzi kama huu?Mwakyembe please chukua hatua ondoa huu ujinga unaotusababishia hasara individually bila sababu lakini pia in long run unakosesha mapato kwa Taifa ambayo tunayhitaji sana.
Wazoefu, natakiwa kufanya nini? Documents zote wanazo mzigo hawautoi port na mwisho wa siku ni mimi ndio nalipa storage charges si wao.