FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Primking TPA wanahusika kwenye ucheleweshaji uhamishaji mizigo kutoka port kwenda ICDs ndio maana issue ya tatizo la chassis no wamelijua siku ya saba that's one. Two hata baada ya TRA kufanikiwa kuamend hiyo chassis no wao pia wamechukua days kuamend records zao. In both cases "system iko down" ndio national anthem karne hii ya ishirini na ngp sijui hata sikumbuki tena. By the way gari mpaka sasa halijatoka na sijui litatoka lini for sure
Wewe wacha porojo, kwanini usihakiki makaratasi yako kabla hujatuma gari lako? hata chassis namba ulikuwa unajuwa inakaa wapi kwenye gari lako?
Nenda kawadai agents wako waliokosea, siyo kila kitu mnatupa lawama TRA tu, Hata huko Uingereza kuna madudu kibao wanafanya, moja wapo hilo lako. Iliwachukuwa muda gari kurekebisha?