Uzembe Bandarini na TRA-Mwakyembe Chukua Hatua Please

Primking TPA wanahusika kwenye ucheleweshaji uhamishaji mizigo kutoka port kwenda ICDs ndio maana issue ya tatizo la chassis no wamelijua siku ya saba that's one. Two hata baada ya TRA kufanikiwa kuamend hiyo chassis no wao pia wamechukua days kuamend records zao. In both cases "system iko down" ndio national anthem karne hii ya ishirini na ngp sijui hata sikumbuki tena. By the way gari mpaka sasa halijatoka na sijui litatoka lini for sure

Wewe wacha porojo, kwanini usihakiki makaratasi yako kabla hujatuma gari lako? hata chassis namba ulikuwa unajuwa inakaa wapi kwenye gari lako?

Nenda kawadai agents wako waliokosea, siyo kila kitu mnatupa lawama TRA tu, Hata huko Uingereza kuna madudu kibao wanafanya, moja wapo hilo lako. Iliwachukuwa muda gari kurekebisha?
 
Kufail kwa Network ya TRA na TPA kunawahusu nini agent na mimi?. Kukosewa kwa chassis no ni kitu cha kawaida na wala sijawalaumu TPA wala TRA wa hilo nimewalaumu kwa kuchelewesha kuhamisha gari bandarini tatizo lililopelekea kuchelewa kujua kosa. Kama haitoshi baada ya Shipper kubadili manifest TRA na TPA wanachukuaje 14 days kueffect hiyo change kwenye systems zao kisa hawana network? Hiyo network hopeless kiasi hicho wanapewa bure? FF toka jana release order imegoma kutoka network mbovu hili nalo ni langu pia? Acha hizo porojo na unfounded theories please.

Just for your information Uk walitumia 30 minutes kuproduce hiyo Manifest Corrector same thing ambayo TRA na nduguye TPA week ya pili sasa wanahangaika nayo simply tu kwa sababu hawana network.
 
Pole mkuu gari linaenda yadi gani maana kuna mayadi gari ikiwa na kasoro ni majanga.
 
Mkuu Mani gari linaenda Hesu vipi nayo ni majanga?

Pole hao walisimamishwa nashangaa kwa nini wanaendelea kupewa magari. Yaani gari saa nyingine inabidi uingie mwenyewe yadi wao wanadai halipo.
 
TRA ni majanga mkuu wangu bado wanafanyakazi kwa mazoea

Kama kuna sehemu wanatakiwa watu waamshwe basi TRA ni moja ya taasisi ambazo zinatakiwa zipewe mwamshaji mapema sana. Ni kazi kwa mazoea na ubabe tu. Inamsaidia nani?
 
Pole hao walisimamishwa nashangaa kwa nini wanaendelea kupewa magari. Yaani gari saa nyingine inabidi uingie mwenyewe yadi wao wanadai halipo.

Mmh mkuu Mani kumbe ndio wako hivyo tena! Let's see itakavyokuwa hope hilo langu wataliona maana usumbufu niliopata TRA na TPA katika hili unatosha naomba Mungu Hesu wawe as efficiency as possible.
 
Unaweza kuwakomalia storage kuwa gari inatozwa pale itakapo ingia yadi sio gari iko port wakucharge.
 
Kufail kwa Network ya TRA na TPA kunawahusu nini agent na mimi?. Kukosewa kwa chassis no ni kitu cha kawaida na wala sijawalaumu TPA wala TRA wa hilo nimewalaumu kwa kuchelewesha kuhamisha gari bandarini tatizo lililopelekea kuchelewa kujua kosa. Kama haitoshi baada ya Shipper kubadili manifest TRA na TPA wanachukuaje 14 days kueffect hiyo change kwenye systems zao kisa hawana network? Hiyo network hopeless kiasi hicho wanapewa bure? FF toka jana release order imegoma kutoka network mbovu hili nalo ni langu pia? Acha hizo porojo na unfounded theories please.

Just for your information Uk walitumia 30 minutes kuproduce hiyo Manifest Corrector same thing ambayo TRA na nduguye TPA week ya pili sasa wanahangaika nayo simply tu kwa sababu hawana network.

Maelezo ya Bobby yapo so clear, nashindwa kuelewa kwa nini hatuoni kuwa tatizo lipo hapo TPA.

Habari ya siku nyingi Chief....yaani inashangaza kweli.....watu hawaoni jambo ambalo liko very clear......sasa utambue kuwa these types of watu .....ama kwa makusudi au kwa ujinga hawataki kuelewa jambo rahisi kama hili ndio hao maofisa tulionao kwenye idara mbali mbali za umma/serikali........
 
Unaweza kuwakomalia storage kuwa gari inatozwa pale itakapo ingia yadi sio gari iko port wakucharge.

Hiyo point kubwa sana nitakomaa nao mkuu. Constructive points kama hizi zinatakiwa sana sana kuliko kuona kama TRA na TPA wanaonewa pale tunapoeleza ukweli kuhusu inefficiency yao ambayo iko so obvious. TPA ni moja ya major sources za mapato ya Taifa wanashindwaje kuwa na internet na system operator reliable? Kwangu mimi kama Mtanzania nasikia aibu kwamba unaweza kupoteza 7 days mjini hapa eti kwa kuwa network ya eneo sensitive kama bandari imefail. Network inafail kila siku hakuna hatua kuchuliwa utendaji wa huyo dealer wa network unapimwaje kama kudeliver hawezi na bado yupo tu?
 
Habari ya siku nyingi Chief....yaani inashangaza kweli.....watu hawaoni jambo ambalo liko very clear......sasa utambue kuwa these types of watu .....ama kwa makusudi au kwa ujinga hawataki kuelewa jambo rahisi kama hili ndio hao maofisa tulionao kwenye idara mbali mbali za umma/serikali........

Mkuu Ogah kuna kitu hapa si bure.Unapoona mtu anapinga the obvious then iko namna si bure.
 
..... TPA ni moja ya major sources za mapato ya Taifa wanashindwaje kuwa na internet na system operator reliable? Kwangu mimi kama Mtanzania nasikia aibu kwamba unaweza kupoteza 7 days mjini hapa eti kwa kuwa network ya eneo sensitive kama bandari imefail. Network inafail kila siku hakuna hatua kuchuliwa utendaji wa huyo dealer wa network unapimwaje kama kudeliver hawezi na bado yupo tu?

....Mkuu THANK YOU!!.......rudia tena na tena na tena.....hiki ndicho kitu cha KUSHANGAZA SANA SANA......ndio maana tunasema hivi vitu vinafanywa kwa makusudi kabisa....
 
Mmh mkuu Mani kumbe ndio wako hivyo tena! Let's see itakavyokuwa hope hilo langu wataliona maana usumbufu niliopata TRA na TPA katika hili unatosha naomba Mungu Hesu wawe as efficiency as possible.

Pole sana mkuu, kutokuwa mzoefu wa yale maeneo ni tatizo sana, nakuhakikishia agent wako alikudanganya alikuwa hajaprocess documents wala kulipia kodi, ukishalipia kodu, release ya TRA ni dk chache sana, tatizo ni maneno mengi ya baadhi ya c/ agent atakuambia tpa/ tra wanataka pesa, pole sana ukikwama na km bado hujatoa nistue mkuu!
 
Mkuu thanks a lot kwa offer nitakutafuta in case issue hii ikiendelea kunitesa au nikiwa na nyingine kama hii . Ni kweli kwamba agents huwa si wa kweli kama zilivyo kada nyingine.However, kwa hili kodi nililipa mwenyewe Diamond Trust Bank na nimekuwa na agent mguu kwa mguu ili kupunguza uwezekano wa kudanganywa. Sina uzoefu mkubwa kwa hili but 12 years si muda mdogo pia. Na agent anayedeal na hili nimekuwa nikimtumia kwa 5 years. So tunafahamiana kiasi na anao uzoefu.

Msingi mkubwa wa huu uzi ilikuwa kuelezea matatizo ya kimfumo TRA na TPA. Utakubaliana nami kwamba wimbo wa "system iko down" ni maarufu sana TRA na TPA for years why? Kuna kipindi President aliingilia kati akaenda kule nchini mwenyewe nakumbuka kumsikia akimwambia mmoja wa staff kule "Hivi nyie mnaona raha sana kuyaona haya magari?" Hali ikawa nzuri kwa kipindi kifupi then mambo yakarejea kwenye business as usual. Juzi juzi tena bandari ilikuwa floaded Mwakyembe ikabidi aende kuokoa jahazi. Why should it take a President na Minister kuingilia kati issue ya kiutendaji? Kuna mmoja hapa amesema angekuwa al shabab angelipua pale bandari tuanze upya why? Ni kwa sbb inavyoonekana ni kama permanent solution ya malfunctioning ya TPA na TRA pale bandarini imekuwa ngumu kuipata kwanini wakati tunapahitaji sana kama nchi?
 
Ok pole mkuu, pamoja
 
Pole mkuu na its absurd mtu kama Mkuu Primking anapopinga kwamba haya hayapo na sisi ni wazushi tu. Tuzushe kwa faida ipi?
mkuu wote maagent na wafanyakazi wa tra na port kuna kazi kweli...si leo hawa jamaa kusumbua sumbua.sasa hapa tusiongee theory sisi yaliyotukuta ndio tunaona practically.huyu anaebisha na kusema kuna uwajibikaji mzuri nadhani yeye anakitengo juu.SASA NA HIYO SYSTEM ILIYOKUWA IMEWEKWA MPYA NA KUWA DOWN VIPI.MPAKA LINI,NA JE STORAGE CHARGE ITAKUAJE ,INAMAANA TUNAINGIA GHARMA
 
Mkuu Danp36, hapo nilipobold ndio kwenye msingi. Kama ulivyosema nadhani watu wanaongea kutoka kwenye angle ya nadharia ya vile mambo yalipaswa kuwa au vile ambavyo huwa yanakuwa kwao na kusahau kwamba uzoefu wao ni either wana god father huko kwenye system au huwa wanaapply lubricants ili mambo yaende kwa speed yao na wanasahau kwamba kila mtu ana values zake. Wafanya maamuzi watusaidie kuondoa mazingira ambayo mtu anaweza kuyatumia kuficha kutokuwajibika kwake na mfano mmojawapo ni issue ya Network. Inawezekana kabisa kwamba huenda kuna nyakati ambazo huwa tunaambiwa network imefail huwa si kweli simply kwa sababu mara nyingi huwa inakuwa hivyo so ni kichaka hicho tayari. Mazingira haya yaondolewe ili tuwe na level playing field huenda itasaidia kidogo.
 
Pole mkuu na its absurd mtu kama Mkuu Primking anapopinga kwamba haya hayapo na sisi ni wazushi tu. Tuzushe kwa faida ipi?

we acha tu kaka wahanga tuko wengi, ndio nategemea leo itoke isipotoka kuwanzia kesho naanza maumivu ya dola 46 kwa siku sababu ya uzembe wao.
 
Pole mkuu vp umefikia wp? At last jana saa 5 usiku yangu imetoka. Nimetozwa 14 days storage charges ambayo sikuisababisha. Nimejaribu kubishana nao HESU kwamba gari kwao ina siku 4 sambamba na tamko la kamishna kwanini wanicharge 14 days? Wakagoma nikaamua kulipa ili siku zisiongezeke. Kilichoniuma zaidi ni kwamba nimelipia kutunziwa gari kwa 14 days lakini kuna vitu vimeibiwa kwenye gari huu kama si upuuzi ni nini? Utendaji wa TRA na TPA ni hopeless period.
 
Back
Top Bottom