Uzembe Bandarini na TRA-Mwakyembe Chukua Hatua Please

Mkuu ni wk ya pili hii inaenda baada ya shipper kusubmit manifest corrector. Siku zinakatika tu, kila siku mara system iko down. Mara oh mzigo wako ulikwishatoka kwenye system wakati si kweli na upuuzi mwingine kibao. .

Mkuu Bobby Mimi Sijaona kosa la TPA na TRA kwenye issue yako.

Utaratibu upo hivi, Shipping Line anajukumu la kutuma manifest TRA, na Discharge list TPA, itakapotokea tofauti kati ya chassis namba iliyopo kwenye gari na iliyotumwa kutoka shipping maana yake ni Kuwa hautaweza kutoa hiyo gari.

Inapotokea hali kama hiyo consignee anatakiwa arudi kwa shipper ili watume correction notice kwa shipping line.

Shipping Line akishapata correction notice anafanya amendment ya details zako kwenye system ya TRA, hawa wanatakiwa wa approve ili uweze kuendelea na taratibu za kutoa gari yako.

Sasa ikitokea labda meli iliyobeba gari yako ilipangwa bandari kavu, kidogo lazima utachelewa na hii inatokana na amendment zinapofanyika TPA wanapata ugumu katika kuandaa movement sheet.

Kwa hatua hizi nilizojaribu kuelezea Sijaona uzembe unaosemwa wa TRA na TPA.

Bado nataka kukusaidia, LINE GANI ULITUMIA KUSAFIRISHIA MZIGO WAKO?
 
Asante mkuu kwa kuliona hili na ndo mana m nkazidi kusisitiza afike bandari kupata suluhisho la kudumu la tatizo lake
 
C kweli kwamba tpa imeweka watu wake wa kufanya clearing.makampuni haya ni halali kabisa kufuata sheria zote za usajili kupitia chama chao clearing and forwarding na wote hupewa leseni za kiutendaji kwa mujibu wa sheria na kanuni za nchi.

Ndugu yangu mamlaka haina uhusiano wowote wa uanzishwaji wa haya makampuni kwamba kuna maslahi binafc mamlaka inapata ili ipo kuyasimamia haya makampuni yakuhudumie wewe sawasawa na matakwa yako.

Mamlaka ya bandari ni sikivu mno kwa mtanzania yeyote yule hvyo basi nawasihi ndugu zangu msiishie kutoa malalamiko yenu humu tuu pia tembeleeni mamlaka mkajionee wenyewe tatizo liko wapi nadhani kwa kufanya hivi tutaongeza ufanisi wa kiutendaji kwa mamlaka yetu ya bandari

....hivi unajua kuwa hizi mamlaka/idara za serikali zinaharibiwa na watendaji wezi/wala rushwa/walafi/mafisadi.....kama huelewi hilo.....then tuna safari ndefu sana ya kupigana na mafisadi wa nchi hii....Ufisadi wa nchi hii unalelewa sana kwa njia nyingine na hao hao maofisa huko TRA huku wakishirikiana na wenzao/washikaji zao TPA...........!
 
Mkuu ni utendaji gani uliooza ndani ya mamlaka?kma isue ni system ilikua inasumbua mbona hata humu ndani huwa inasumbua mara nyingi tu.je tuseme utendaji wa jf umeoza?

watendaji wa mamlaka ni binadamu kama wewe ndugu yangu na kukosea ni sehemu ya uwajibikaji ila haikufanyi wewe kuondoa imani na mamlaka ya bandari

.....Mkuu hivi wewe mwenzetu uko nchi hii yetu ya Tanzania kweli!!!.....hivi ni lini utendaji wa TPA umetoka kwenye level ya UOZO!....alikuwepo Mgawe aliifanya TPA kama ni ya familia yake.....sasa hivi yupo Madeni K .....naye kila mwanya unaotokea anapiga pasi ndefu......huku watu wakidhani he is for real!!....damn
.....hivi huku kujikosesha kwa makusudi kw ahao watendaji nako unakuita ni "kukosea".....hivi kila unapofuatilia mzigo wako lazima ukutane na ....."system is down"......and other stupid things of that nature
 
TRA ni majanga mkuu wangu bado wanafanyakazi kwa mazoea

Kwa kosa hilo hapo TRA hawahusiki, wao wameshalipwa kodi yao, huyo tatizo lake ni kutokuhakiki namba zake kabla hajasafirisha gari, amkabe msafirishaji wake aliyekosea kuweka namba.

Kwanini kila kosa muwalaumu Watanzania? ukikosea kuna gharama zake, ndiyo maana wazee wenu walihangaika kuwapeleka shule msiwe mnafanya makosa ya kijinga.
 
...............Sasa ikitokea labda meli iliyobeba gari yako ilipangwa bandari kavu, kidogo lazima utachelewa na hii inatokana na amendment zinapofanyika TPA wanapata ugumu katika kuandaa movement sheet.........

...Mkuu hizo highlighted points ndipo kwenye matatizo haswaaa!!...kwa sababu watu wameachwa wanaelea....anything can be said.....hakuna accountability....na hayo ndio mazingira yenyewe ya rushwa........"lazima".......halafu..."ugumu"......na maneno yao huwa ndio yako hivyo hivyo.....ukitoa kitu kidogo "ulazima" wa kuchelewa unaondoka.....na "ugumu" wa kuandaa movement sheet unatoweka.....
 
Storage charges ndio zinazowapatia mapato ICDs.
What I know ICD kila wakifungua container na kulifunga wanakukata hela kibao! Just kitendo cha kuja kufungua na kufunga unalipa dola karibia mia. Na bahati mbaya hela hizi hazina kodi serikalini. Inatia huruma sana. No wonder ndo maana watu wako tayari kununua na kubomoa mitaa kadhaa ili waweke icd. Inalipa hata kama sio kwa njia halali
 
Kwa kosa hilo hapo TRA hawahusiki, wao wameshalipwa kodi yao, huyo tatizo lake ni kutokuhakiki namba zake kabla hajasafirisha gari, amkabe msafirishaji wake aliyekosea kuweka namba.

Kwanini kila kosa muwalaumu Watanzania? ukikosea kuna gharama zake, ndiyo maana wazee wenu walihangaika kuwapeleka shule msiwe mnafanya makosa ya kijinga.

FF kwanini usisome thread nzima vizuri kabla ya kuporomosha matusi yote hayo na mwezi mtukufu kiasi hiki? Makosa ya kijinga kwangu mimi kama consignee kwenye hili ni yapi forGod's sake? Let me help you huenda nikapata thawabu. TRA wanahusika hivi kwenye hili. Ni kwamba chassis no ya hicho chao (kadi) walichochukuwa ina makoa so inabidi ibadilishwe number sahihi ili bandari waweze kutoa hilo gari. Hapo ndipo kwenye shughuli kila siku system iko down week nzima imekatika just kuamend hilo tu. Kwanini karne hii tuhitaji 7 days kuamend chassis no kwenye system? Hiyo ndiyo concern yangu. Kama wanahitaji 7 days kucorrect chassis no na it took them another 7 days kugundua tatizo la chassis no then wao ndio walipe storage charges ya hizo 14 days na sisi mimi mbaye niliwalipa kodi yako hata gari halijawa offloaded.
 
Kunapotokea makosa kwenye documentation mamlaka zinazohusika zinàkuwa waangàlifu mno. Meli moja ikifika inashushà zaidi ya magari 2000. Kama hakuna makosa yoyote magari hayo hutokà ndàni ya simu 7 au 14 kwa mujibu was taratibu. Sioni kosa au uzembe pale utaratibu unapofuatwa.
 
Mkuu Bobby Mimi Sijaona kosa la TPA na TRA kwenye issue yako.

Utaratibu upo hivi, Shipping Line anajukumu la kutuma manifest TRA, na Discharge list TPA, itakapotokea tofauti kati ya chassis namba iliyopo kwenye gari na iliyotumwa kutoka shipping maana yake ni Kuwa hautaweza kutoa hiyo gari.

Inapotokea hali kama hiyo consignee anatakiwa arudi kwa shipper ili watume correction notice kwa shipping line.

Shipping Line akishapata correction notice anafanya amendment ya details zako kwenye system ya TRA, hawa wanatakiwa wa approve ili uweze kuendelea na taratibu za kutoa gari yako.

Sasa ikitokea labda meli iliyobeba gari yako ilipangwa bandari kavu, kidogo lazima utachelewa na hii inatokana na amendment zinapofanyika TPA wanapata ugumu katika kuandaa movement sheet.

Kwa hatua hizi nilizojaribu kuelezea Sijaona uzembe unaosemwa wa TRA na TPA.

Bado nataka kukusaidia, LINE GANI ULITUMIA KUSAFIRISHIA MZIGO WAKO?

Mkuu JojiPoji sorry nilikupa wrong name kutokana na hasira ya manyanyaso ninayopata toka kwa TRA na TPA. Shipping line ni Africa Transit Solution Co Ltd wako JM Mall Building something. Bahati mbaya wewe na Priminking mmegoma kuadimit kwamba kwenye hili sakata na mengineyo kama haya TRA na TPA wanahusika. Anyway you re entitled to your own opinion ila kwangu mimi TPA na TRA wanahusika sana nitaeleza kwenye paragraph inayofuata. Shipping Line na Agent wana part yao of course na nimekwisha deal nao but nikaona kwa hizo government organs nilete hapa kwenye platform kubwa zaidi ili wahusika waweze kuona pia.

UHUSIKA WA TRA NA TPA
Walihitaji 7 days kujua kama chassis no haiko sahihi. Nilipouliza why walisema kwa makosa mizigo ya ICD ilichelewa kuhamishwa toka bandarini. Si kazi kazi ya mteja kuhamisha mzigo toka port kwenda ICDs .By the time naanza process ya kuamend chassis already wameanza kucharge storage charges though ni wao ndio walichelewa kuhamisha mizigo toka port. Manifest corrector imekuja shipping line wamewapa TRA ambao imewachukua week nzima kuwa amended kwa sababu system iko down. Huyo internet service provider wa TRA ni hopeless kiasi kamba system kila siku iko down? Na kwanini wateja ndio tulipe uhopelessness wa ISP wa TRA? At last amendment ikatoka TPA nao wanasema system iko down sasa sijui ISP wa TRA dio huyo wa TPA wenyewe wanafahamu. At one point walisema gari imekwisha toka wakati gari bado wanayo wao. Kurekebisha hili it took time pia na mimi ndio nalipia huo muda though sijasabaisha hiyo hali.

HITIMISHO
Ipo shida ya mtandao ndani ya TRA na TPA. Issue ya few minutes inachukua mpaka 7 days ukiuliza sababu unaambiwa system iko down na mwisho wa siku mteja ndio analipa hiyo gharama ya system kuwa down. Ipo shida pia ya kimawasiliano kati ya TRA na TPA so ipo haja kustreamline mambo kibao tuache mambo ya ubusiness as usual. Kuna shida pia namna hizi ICDs zinavyooperate. Upo ushahidi wa kutosha sana kwamba wanaandaa mazingira very deliberately ya mteja kulipa unnecessary storage charges. Ni imani yangu kwamba Kiongozi makini kama Mh Mwakyembe anapaswa kuyafanyia kazi haya.
 
......

Huo hapo juu ni ujumbe murua kabisa kwa wahusika....kwanini mtu alipe gharama kwa sababu system iko down?.....kuna haja ya kuwapeleka hawa jamaa mahakamani ili walipe huu usumbufu.....huku niliko tatizo la mawasiliano likitokea kwenye system yao ninakuwa compensated......hukonyumbani itabidi tuanze kudai kwa maandishi......endapo system ikiwa down watuambie kwa maandishi ili tuwe na kumbukumbu officially ya kuweza kudai haki yetu....na itabidi wao sasa ndio watuambie sasa the system is up......maana wateja kupitia ma-agent wetu hatuwezi kuota kuwa mi-dinasaur yao TPA & TRA inafanya kazi wakati gani.......
 
Rightly said Mkuu Ogah mteja si ISP wa TRA wala TPA kwanini atozwe faini kutokana na system kuwa down? Mteja si Yesu wa kubeba dhambi za non performance za TRA na TPA regardless of the cause.
 
FF kwanini usisome thread nzima vizuri kabla ya kuporomosha matusi yote hayo na mwezi mtukufu kiasi hiki? Makosa ya kijinga kwangu mimi kama consignee kwenye hili ni yapi forGod's sake? Let me help you huenda nikapata thawabu. TRA wanahusika hivi sana kwenye hili. Ni kwamba chassis no ya hicho chao (kadi) walichochukuwa ina makoa so inabidi ibadilishwe number sahihi ili bandari waweze kutoa hilo gari. Hapo ndipo kwenye shughuli kila siku system iko down week nzima imekatika just kuamend hilo tu. Kwanini karne hii tuhitaji 7 days kuamend chassis no kwenye system? Hiyo ndiyo concern yangu. Kama wanahitaji 7 days kucorrect chassis no na it took them another 7 days kugundua tatizo la chassis no then wao ndio walipe storage charges ya hizo 14 days na sisi mimi mbaye niliwalipa kodi yako hata gari halijawa offloaded.

Nisome nini zaidi ya niliyoyasoma, hapo? makosa yamefanyika hukohuko lilipotoka gari.

Ewe punguani, hilo tusi liko wapi kwenye post yangu, nioneshe japo moja tu, wacha hayo unayoyasema nimeporomosha> Na ukishindwa kuonesha, ujuwe huo ndio unaoitwa ufataani na uzandik.
 
Mkuu naomba kubatilisha kauli yako mimi sio msemaji wa mamlaka isipokua najaribu kukupa uhalisia wa utendaji wa mamlaka ya bandari.

Mkuu bobby kama swala ni la uchelewaji wa mizigo iliyopangiwa icd ilichelewa kuhamishwa ni matatizo tu ya kiutendaji na kibinadamu pia ndgu yangu ila hiyo haikufanyi wewe kuchelewa kupata mzigo wako kwa wiki mbili.

Bado nasisitiza fika mamlaka na agent wako kitengo cha malalamiko hapo ndo utajua mbivu na mbichi mkuu

kwa hiyo hata kwenye kulipa storage tutawaambia nina hela pungufu wanisamehe kwasababu ni matatizo tu ya kibinadamu?
Nchi hii amini usiamini, si viongozi/Wanasiasa tu wanaoibomoa, karibu kila mtu mwenye kanafasi mahali anafanya yake, hamna mwenye uchungu nayo wala kwa vizazi vyetu vijavyo, kwa ujumla tumekata tamaa ya maendeleo. so sad...
 
FF kwanini usisome thread nzima vizuri kabla ya kuporomosha matusi yote hayo na mwezi mtukufu kiasi hiki? Makosa ya kijinga kwangu mimi kama consignee kwenye hili ni yapi forGod's sake? Let me help you huenda nikapata thawabu. TRA wanahusika hivi kwenye hili. Ni kwamba chassis no ya hicho chao (kadi) walichochukuwa ina makoa so inabidi ibadilishwe number sahihi ili bandari waweze kutoa hilo gari. Hapo ndipo kwenye shughuli kila siku system iko down week nzima imekatika just kuamend hilo tu. Kwanini karne hii tuhitaji 7 days kuamend chassis no kwenye system? Hiyo ndiyo concern yangu. Kama wanahitaji 7 days kucorrect chassis no na it took them another 7 days kugundua tatizo la chassis no then wao ndio walipe storage charges ya hizo 14 days na sisi mimi mbaye niliwalipa kodi yako hata gari halijawa offloaded.

Bobby mbna kama maelezo yako hapo yanaiondoa t.p.a na kuihusisha tra tu.
 
kwa hiyo hata kwenye kulipa storage tutawaambia nina hela pungufu wanisamehe kwasababu ni matatizo tu ya kibinadamu?
Nchi hii amini usiamini, si viongozi/Wanasiasa tu wanaoibomoa, karibu kila mtu mwenye kanafasi mahali anafanya yake, hamna mwenye uchungu nayo wala kwa vizazi vyetu vijavyo, kwa ujumla tumekata tamaa ya maendeleo. so sad...

Kamanda tofautisha utendaji na malipo
 
Bobby mbna kama maelezo yako hapo yanaiondoa t.p.a na kuihusisha tra tu.

Primking TPA wanahusika kwenye ucheleweshaji uhamishaji mizigo kutoka port kwenda ICDs ndio maana issue ya tatizo la chassis no wamelijua siku ya saba that's one. Two hata baada ya TRA kufanikiwa kuamend hiyo chassis no wao pia wamechukua days kuamend records zao. In both cases "system iko down" ndio national anthem karne hii ya ishirini na ngp sijui hata sikumbuki tena. By the way gari mpaka sasa halijatoka na sijui litatoka lini for sure wanadai hawawezi kupint Release Order toka jana Network inasumbua. Usumbufu wa Network ya TPA unasababisha mimi mteja nilipie storage charges then Primking na FF wanakwambia hawaoni shida ya TPA wala TRA hapa-something is not ok here si bure.
 
Kwa kosa hilo hapo TRA hawahusiki, wao wameshalipwa kodi yao, huyo tatizo lake ni kutokuhakiki namba zake kabla hajasafirisha gari, amkabe msafirishaji wake aliyekosea kuweka namba.

Kwanini kila kosa muwalaumu Watanzania? ukikosea kuna gharama zake, ndiyo maana wazee wenu walihangaika kuwapeleka shule msiwe mnafanya makosa ya kijinga.

Kumbe ukituliaga huwa una logic ee
 
Back
Top Bottom