Ed Kawiche
JF-Expert Member
- May 28, 2020
- 2,987
- 5,566
naona mnamlaumu askari tu, km bunduki hazikuwa callibrated?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi huyo Msemaji wa Polisi angesema na sio kutaka kuhadaa Watu wenye akili timamu kuwa Fisi alikwepa risasi.naona mnamlaumu askari tu, km bunduki hazikuwa callibrated?
Je ni maelezo ya Msemaji yanasema hivyo au ni hisia zako? kasema Fisi alikuwa anakwepa hajasema Fisi alikuwa anakimbia.Mleta mada kakurupuka anashindwa kuelewa fisi alikuwa movable target na sio Target iliyotulia sehemu kwa hiyo hata ulengaji wake unakuwa na shida na inawezekana hakuwa askar mmoja labda walikuwa Kama wanne au watano
Ndio maana ikatokea hvyo risas 49 kutumika hata wew mtoa mada ukipewa silaha yenye risas 31 ulenge target inayo hama unaweza usipate hata moja kwa akil yako navyoiyona
Mahesabu ya kumlenga kitu kinachotembea Ni makubwa Sana uchez na bunduki Bali unacheza object husika
Sent from my TECNO B1 using JamiiForums mobile app
Naona kuna Watu wanatetea wasichokijua.Itakua walikunywa pombe. LGM kwenye Range ilo poa sana haina vibration kali, trigger yake lain yan unaifyatua adi raha