DOKEZO Uzembe wa Hospitali Kuu ya Mkoa Morogoro umesababisha kifo cha Mwanafunzi wa SUA

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Wewe unaona ni rahisi?

Hao vijana wana makwao ni kila mmoja anajua namna gani wazazi wake wanavyo fight kumlipia ada.
 
May his soul rest in peace.

Naamini JF ina nafasi yake kwenye kupaza sauti, basi viongozi mlioko huku fuatilieni hili suala na kufanya utafiti wa haki bila siasa au kujuana kuingilia kati.
 
Inasikitisha sana jamaa anamaliza ili afaidi matunda ya masomo yake kifo nacho hiki dah!? R.i.p
 
Who knows it could a real karma mother ameishuhudia , hii Dunia Ina mengi sana
 
Atleast wewe unashukuru kwa msaada uliopewa na wauguzi , angekuwa mwingine angeponda tu ili kusuport topic
 
Huu udaktari wa kukariri huu. Practically, utumbo ukijikunja unaanza kuoza ule upande ambao haupati damu ya kutosha , unless unaleta story za Google hapa
Intestinal obstruction is always an emergency case once spotted. Kwa mfano mgonjwa akila kitu na kukitapika muda huohuo ,in projectile vomit hiyo inatosha kuhitimisha
 
Gazeti lote hili na simulizi hii imenidurahisha...mkuu mkeo akijifungua huwa unamuhudumia ww au unamsend off kwao akajifungue?

Mambo wayapendayo wanaume kuhudumiwa kama hivyo safi kabisa ila wake zao wakitaka kujifungua hawataki kabisa kuwahudumia madai yao wako busy..hawaezi kufanya kazi hizo japo wapo wachache wanaojielewa.
 
Ethics zinakataa, alafu shortage ya madaktari bingwa ni kubwa na ndo hapo sasa mpige kelele serikali itoe ajira.
Zinakataaa vipi? Sasa je amekufa hivi? Mama ake atalaumu je yeye km angeweza kuokoa uhai wa mwanae?
 
General surgeon anafukia mashimo yote mkuu ilmradi tu yanahusu Surgery especially kama hospitali haina madaktari wengi wanaoweza kufanya upasuaji. General practitioner kuna C/s za kawaida zinawadundia inabidi waite msaada.
Hospital ya mkoa hiyo, hakuna huo ulazima na uwezekano.
Nipo hospital( doctor) pia najua taratibu.
 
Intestinal obstruction is always an emergency case once spotted. Kwa mfano mgonjwa akila kitu na kukitapika muda huohuo ,in projectile vomit hiyo inatosha kuhitimisha
Hivi huwa inasababishwa na nn? Sio njaa ya muda mrefu? Bas ingekua zahanati angeambiwa ana vidonda vya tumbo. Lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…