Uzi gani wa JF ulikuvutia na unatamani kila mtu apate nafasi ya kuusoma

Uzi gani wa JF ulikuvutia na unatamani kila mtu apate nafasi ya kuusoma

Habari wakuu

Najua JF ni kisiwa cha habari na maarifa pia kumekuwa na nyuzi nyingi ambazo sisi kama member tumekuwa tunazisoma.

Basi mkuu ni hivi, wewe kama mwanaJF uzi gani ulikuvutia sana na ulitamani wengine wapate nasaha ya kuusoma pia.

Mimi binafsi ni huu:-

Karibu.
Pascal Mayalla Physic power ni nguvu za kufanya miujiza na wengi Wana "Upo Jamii intelligent"
 
NyUzi ni nyingi zenye uzito wa mafundisho , ila uzi wangu mimi niliuandika 03 March 16 ulinibadilisha maisha yangu mazima.
JF ni kubwa na ina watu
Mungu ni Mwema sana
 
Kuna ule Uzi wa " Tuliopata pesa nyingi na kufilisika tukutane hapa" una funzo kubwa kuhusu kutunza pesa
 
 

Ni miongoni mwa nyuzi nilizowahi soma na kuzielewa sana. Mwandishi kaandika kwa umaridadi sana pia kaeleza madhila alopitia. Aliponikosha ni pale alipopitia magumu hasa baridi kali na kuwaza kuwa nn kimempeleka kule ilihal nyumban kunamazingira mazur ya joto
Nkipata muda ntaweka kambi apa
 
Back
Top Bottom