Tumwesige senior
JF-Expert Member
- Jan 28, 2013
- 3,506
- 6,305
Nimeweka kambi hapa mpaka nipate gari la 2m
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii hela nimepata kiwanja na msingi/ au Mashamba ya kukodoshia watu,after 2 years nauza Kwa mil 50/70Hello ! Uzi huu nitakuwa nikikupa updates za Magari used yalipo sokoni, yenye uzima na yanatumika kwa bei nafuu kabisa….kwa latest updates unaweza Subscribe uzi huu, ili kupata taarifa za gari mpya itakayo postiwa hapa. KARIBU
Toyota Harrier Second Generation for Sale Price 15.8M
Engine 2AZ
Cc 2360
Location Mbeya
📞 0769463336
Hao jamaa unaowaita Bayort Mungu akuongoze wasipo kuua watakutia gonjwa sugu likuue kwa pressureNgoja niingie kwanza Bayport! Ndani ya masaa 24 nitakuwa natembea huku nikiwa nimekaa.
Kuna siku wamenitumia ujumbe mfupi eti wanakopesha kwa muda wa mpaka miezi 120!! Yaani miaka 10! Imagine mtoto anazaliwa, mpaka anafikisha miaka 10 wewe bado unakatwa tu na Bayport!Hao jamaa unaowaita Bayort Mungu akuongoze wasipo kuua watakutia gonjwa sugu likuue kwa pressure
Sent from my SM-A235F using JamiiForums mobile app