Fekas general supply
Member
- Apr 5, 2020
- 29
- 14
Naomba namb zako z cm bossNatafuta soko la wateja na kuwauzia karatasi aina zote kutoka nchini China... ni useme ni aina gani ya karatasi unahitaji.
Unaweza usiwe na mtaji ila una CONNECTION to connection ukafanikisha biashara ifanyike. Maana una percent yako ni biashara endelevu.
Uaminifu ni kitu cha kwanza janja janja hakuna. Uaminifu ni mtaji.
Habari..mm naomba niunganishwe na wafanyabiashara,viwanda au makampuni yanayotumia vitabu kwani najihusisha na Ku print na Ku bind Vitabu mbalimbali km invoice,delivery,receipt book,petty cash na vingine..tupo k.koo 0766 597 157Habari nimeamua kuadika uzi huu kwa lengo la kusaidiana hasa kwa wale pata shida kwa kukosa ajira na kuishi kulimbikiza stress kichwa na wakti mwingine kufikia kujiwazia mabaya katika maisha yao.
Hivyo bhasi niombe wanzengo kama kuna mwenye mchongo wowote ilhali ni salama na usio kinyume sheria unaweza share ili kusaidia jamii yetu.
Lengo ni kujikwamu kimaisha.
Pia unaweza share mchongo+
Ushauri
Ahsanteni naomba kuwasilisha.
#Tupeane Michongo.
Shukran sana kwa kutokuwa mchoyo wa michongo.Fundi wa madirisha ya grill (flat bar) anahitajika
Habari, fundi wa madirisha ya grill (flat bar) anahitajika; madirisha yako 25, kazi ni kutengeneza na kupachika ndani ya siku saba. Malipo baada ya kupachika. Bajeti yangu kwa kila dirisha ni sh. 100,000/=. Nahitaji flat bar iliyoshiba. Ni vizuri pia ukinionyesha 'sample' za kazi ulizofanya...www.jamiiforums.com
Kwa wadau wanaohusika wanaweza fuata
Anahitaji michongoHabari..mm naomba niunganishwe na wafanyabiashara,viwanda au makampuni yanayotumia vitabu kwani najihusisha na Ku print na Ku bind Vitabu mbalimbali km invoice,delivery,receipt book,petty cash na vingine..tupo k.koo 0766 597 157
Nakutumia,tafadhali mkuu!Naomba namb zako z cm boss
AsanteUdemy ni site moja inayojihusisha na maswala ya utoaji wa elimu mbalimbali.
Mfano.
Ya kiuchumi.
Kijamiii.
Siasa
Teknolojia.
Na mengine mengi.
Bila shaka nahisi ntakuwa nmekupa ufanunuzi japo kwa ufupi ila naiman utakuwa umepata mwangaza.
Tupeane michongo
Tupeane michongo
[emoji120]mimi ni fundi magari nafanya diagnosis kwa kutumia kifaa cha kisasa pia natengeneza mifumo ya umeme na mechanics kiujumla nipo Mlimani City karibu kwa huduma bora pia nafika popote ulipo
AsanteMkuu ametoa detail katika picha kwamba mtu awe anajua kingereza na awe na uzoefu wa kazi hiyo tajwa.
Changamkia fursa
Yes, ni kutoa order kam tayari una watejaPia kwa faida ya wengine hasa kwa walioko mikoani..
Je kuna uwezekano kwa ambaye anahitaji kuwa wakala wa bidhaa zako..?
Tupeane michongoWakuu nahitaji kazi ya ulinzi ,
Nimehitimu kidato cha nne,
Nina uwezo wakuzungumza Kiswahili pia kiingereza.
Nimepitia mafunzo mbalimbali pamoja na kupata elimu ya customer care, risks assessment n.k
Haswa makampuni ya ulinzi na yaliyosajiliwa kisheria na hayasumbui kwenye mishahara.
Nina udhoefu kwa miaka mitatu, na nimepitia mgambo pia urefu wangu ni 5.57.
Mawasiliano Yangu 0742186254
Shukran sana kiongozi kwa kutokuwa mchoyo wa Michongo.
Yanapatikana mkuu trey 7000Natafuta mayai ya kisasa kwa bei ya jumlaa.. kama unayo ni pm