Uzi kwa ajili ya kupeana michongo

Uzi kwa ajili ya kupeana michongo

Natafuta soko la wateja na kuwauzia karatasi aina zote kutoka nchini China... ni useme ni aina gani ya karatasi unahitaji.

Unaweza usiwe na mtaji ila una CONNECTION to connection ukafanikisha biashara ifanyike. Maana una percent yako ni biashara endelevu.

Uaminifu ni kitu cha kwanza janja janja hakuna. Uaminifu ni mtaji.
Naomba namb zako z cm boss
 
Habari nimeamua kuadika uzi huu kwa lengo la kusaidiana hasa kwa wale pata shida kwa kukosa ajira na kuishi kulimbikiza stress kichwa na wakti mwingine kufikia kujiwazia mabaya katika maisha yao.

Hivyo bhasi niombe wanzengo kama kuna mwenye mchongo wowote ilhali ni salama na usio kinyume sheria unaweza share ili kusaidia jamii yetu.

Lengo ni kujikwamu kimaisha.

Pia unaweza share mchongo+

Ushauri

Ahsanteni naomba kuwasilisha.

#Tupeane Michongo.
Habari..mm naomba niunganishwe na wafanyabiashara,viwanda au makampuni yanayotumia vitabu kwani najihusisha na Ku print na Ku bind Vitabu mbalimbali km invoice,delivery,receipt book,petty cash na vingine..tupo k.koo 0766 597 157
 

Kwa wadau wanaohusika wanaweza fuata
Shukran sana kwa kutokuwa mchoyo wa michongo.


Tuchamkie Fursa
 
mimi ni fundi magari nafanya diagnosis kwa kutumia kifaa cha kisasa pia natengeneza mifumo ya umeme na mechanics kiujumla nipo Mlimani City karibu kwa huduma bora pia nafika popote ulipo
 
IMG-20210924-WA0163.jpg
 
Udemy ni site moja inayojihusisha na maswala ya utoaji wa elimu mbalimbali.
Mfano.
Ya kiuchumi.
Kijamiii.
Siasa
Teknolojia.
Na mengine mengi.
Bila shaka nahisi ntakuwa nmekupa ufanunuzi japo kwa ufupi ila naiman utakuwa umepata mwangaza.




Tupeane michongo
Tupeane michongo
Asante
Nimepata mwangaza
 
Habari wakuu.
Kwa anayehitaji designing ya mabango,logo,posters,happy birthday nk. All in graphics and design nicheki tufanye kazi kwa bei poa.
 
Wakuu nahitaji kazi ya ulinzi ,
Nimehitimu kidato cha nne,
Nina uwezo wakuzungumza Kiswahili pia kiingereza.
Nimepitia mafunzo mbalimbali pamoja na kupata elimu ya customer care, risks assessment n.k
Haswa makampuni ya ulinzi na yaliyosajiliwa kisheria na hayasumbui kwenye mishahara.
Nina udhoefu kwa miaka mitatu, na nimepitia mgambo pia urefu wangu ni 5.57.
Mawasiliano Yangu 0742186254
 
Wakuu nahitaji kazi ya ulinzi ,
Nimehitimu kidato cha nne,
Nina uwezo wakuzungumza Kiswahili pia kiingereza.
Nimepitia mafunzo mbalimbali pamoja na kupata elimu ya customer care, risks assessment n.k
Haswa makampuni ya ulinzi na yaliyosajiliwa kisheria na hayasumbui kwenye mishahara.
Nina udhoefu kwa miaka mitatu, na nimepitia mgambo pia urefu wangu ni 5.57.
Mawasiliano Yangu 0742186254
Tupeane michongo
Tupeane michongo


Ndugu yetu anahitaji mchongo katika kampuni ya ulinzi na auzoefu katika fani hiyo pia castumer care + risks assessment.
Uzoefu anao wa miaka 3


Tupeane michongo
 
Back
Top Bottom