chichiboy1
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 1,371
- 1,856
Nahitaji heat transfer papers kwa ajili ya kuprint tshirts.Natafuta soko la wateja na kuwauzia karatasi aina zote kutoka nchini China... ni useme ni aina gani ya karatasi unahitaji.
Unaweza usiwe na mtaji ila una CONNECTION to connection ukafanikisha biashara ifanyike. Maana una percent yako ni biashara endelevu.
Uaminifu ni kitu cha kwanza janja janja hakuna. Uaminifu ni mtaji.
Itapendeza mkuu na shukrani kwa support yako.Tupeane michongo
Tupeane michongo
Ndugu yetu anahitaji mchongo katika kampuni ya ulinzi na auzoefu katika fani hiyo pia castumer care + risks assessment.
Uzoefu anao wa miaka 3
Tupeane michongo
Kama unatumia cm kuna baadhi ya option zimefichwa tumia pcSioni sehem ya kufuta vyeti naona edit tu kila nikijaribu inazngua cjajua nakosea au
Pamoja sana ndugu yetu[emoji120]Itapendeza mkuu na shukrani kwa support yako.
Tuchangamkie Fursa ndio huzi ndugu zangu.Hello to all.
The Fatuma House Hotel in Paje seeks:
1 garden and pool cleaner
2 waiters
1 cocktail barman
those interested can come directly to the facility for the test.
Thank you
Simone
Hii inataka mtu ako Zanzibar(unguja)aende moja kwa moja.
Ni wazo jema kwakuwa utayari unao basi naamini utaweza kufanya utatuzi katika swala lako. katika namna nzuri ya kuzitambua fursa zilizopo kwenye jamii yako na kuzifanya kuwa fursa.Habari nimeamua kuadika uzi huu kwa lengo la kusaidiana hasa kwa wale pata shida kwa kukosa ajira na kuishi kulimbikiza stress kichwa na wakti mwingine kufikia kujiwazia mabaya katika maisha yao.
Hivyo bhasi niombe wanzengo kama kuna mwenye mchongo wowote ilhali ni salama na usio kinyume sheria unaweza share ili kusaidia jamii yetu.
Lengo ni kujikwamu kimaisha.
Pia unaweza share mchongo+
Ushauri
Ahsanteni naomba kuwasilisha.
#Tupeane Michongo.
Shukran sana bwana ItsMi Mungu akubariki.Ni wazo jema kwakuwa utayari unao basi naamini utaweza kufanya utatuzi katika swala lako. katika namna nzuri ya kuzitambua fursa zilizopo kwenye jamii yako na kuzifanya kuwa fursa.
Asante[emoji1666]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
PDF IPO MWISHO HAPO UNAWEZA FUNGUA UKAPATA MAELEZO ZAIDI.Ndugu zangu tuendelee kupeana michongo.
Na huu ndio mchongo uliotolewa na jeshi la magereza nchini.
Vigezo kuanzia Form 4 na kuendelea.
Kama unahisi huu mchongo unakufaa bhasi usisite kuchangamkia fursa.
TUCHANGAMKIE FURSA.
TUCHANGAMKE MICHONG
#Tupeane michongo
#Tupeane michongoView attachment 1955775
Shukran sana kwa kutushtua
Nimepiga now interview,unfortunately hatukufikia maridhiano,kima cha chini kabisa ni 1.5M unachukua na wanapanda ukiwa na vigezo.Shukran sana kwa kutushtua