Uzi kwa ajili ya kupeana michongo

Uzi kwa ajili ya kupeana michongo

Natafuta soko la wateja na kuwauzia karatasi aina zote kutoka nchini China... ni useme ni aina gani ya karatasi unahitaji.

Unaweza usiwe na mtaji ila una CONNECTION to connection ukafanikisha biashara ifanyike. Maana una percent yako ni biashara endelevu.

Uaminifu ni kitu cha kwanza janja janja hakuna. Uaminifu ni mtaji.
Nahitaji heat transfer papers kwa ajili ya kuprint tshirts.
 
Fundi umeme nipo kwa
[emoji843]Full wiring & installation
[emoji843] Maintenance
 
Tupeane michongo
Tupeane michongo


Ndugu yetu anahitaji mchongo katika kampuni ya ulinzi na auzoefu katika fani hiyo pia castumer care + risks assessment.
Uzoefu anao wa miaka 3


Tupeane michongo
Itapendeza mkuu na shukrani kwa support yako.
 
Hello to all.
The Fatuma House Hotel in Paje seeks:
1 garden and pool cleaner
2 waiters
1 cocktail barman
those interested can come directly to the facility for the test.
Thank you
Simone

Hii inataka mtu ako Zanzibar(unguja)aende moja kwa moja.
 
Kesho Kuna kaziii ya zege wanahitajika watu kama 12 hviii naniii yupo tayari wanazengo

Mchongo kwa hewa location boko na bunju dar es salaam washtue wanaaa mchongo umetimba tayariii kwa ajiri ya kesho wadau

#mchongo updated

stoplight
Mchongo ndio huo.

Tuchangamkie fursa
 
Hello to all.
The Fatuma House Hotel in Paje seeks:
1 garden and pool cleaner
2 waiters
1 cocktail barman
those interested can come directly to the facility for the test.
Thank you
Simone

Hii inataka mtu ako Zanzibar(unguja)aende moja kwa moja.
Tuchangamkie Fursa ndio huzi ndugu zangu.

Ili tuweze kuondokana na hadi duni zinazotuathiri maisha yetu[emoji120]


Tupeane michongo
Tupeane michongo
 
Habari nimeamua kuadika uzi huu kwa lengo la kusaidiana hasa kwa wale pata shida kwa kukosa ajira na kuishi kulimbikiza stress kichwa na wakti mwingine kufikia kujiwazia mabaya katika maisha yao.

Hivyo bhasi niombe wanzengo kama kuna mwenye mchongo wowote ilhali ni salama na usio kinyume sheria unaweza share ili kusaidia jamii yetu.

Lengo ni kujikwamu kimaisha.

Pia unaweza share mchongo+

Ushauri

Ahsanteni naomba kuwasilisha.

#Tupeane Michongo.
Ni wazo jema kwakuwa utayari unao basi naamini utaweza kufanya utatuzi katika swala lako. katika namna nzuri ya kuzitambua fursa zilizopo kwenye jamii yako na kuzifanya kuwa fursa.
Asante[emoji1666]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ni wazo jema kwakuwa utayari unao basi naamini utaweza kufanya utatuzi katika swala lako. katika namna nzuri ya kuzitambua fursa zilizopo kwenye jamii yako na kuzifanya kuwa fursa.
Asante[emoji1666]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Shukran sana bwana ItsMi Mungu akubariki.

Tupo pamoja na tuendelee kupeana michongo naimani ipo siku mmoja wetu atakuja shahidisha ndani ya uzi huu kuwa ulikuwa sehemu ya kubadili maisha yake.


Niendelee pia kutoa shukran za dhati kwa wote mliendelea kushare michongo katika uzi huu..

Naomba Muendelee na moyo huo huo.

NB: Jamii bora hujengwa na wanajamii wenyewe hivyo tuendelee kuisaidia jamii yetu.
 
Habari za Muda ndugu zangu naiman nyote n wazima wa Afya kwa kuwa Mungu ameamua iwe hivyo[emoji120] na hatuna budi sote kushukuru kwa upendeleo huo.

Naomba Niendelee pale tulipoishi katika maswala ya kupeana michongo.

Ndugu zangu niombe tuendelee kupeana michongo ilhali iwe ya uhalali ili wasomaji wa uzi huu waweza saidika.

Kwa kuwa sikuhizi ajira zimekuwa ngumu sana bila connection bhasi embu sisi sote tuwe connection ya kuwa sehemu ya kutoa kwa moyo ili kuwa msaada wa mwingine.

Tusiwe ni wenye roho ya chuki, choyo kwa binadamu wenzetu.

#TENDA WEMA NENDA ZAKO KWA KUWA HUJUI KESHO YAKO.

Naomba kuwasilisha.[emoji120]

TUENDELEE KUPEANA MICHONGO.


#Tupeane Michongo
#Tupeane Michongo.
 
Ndugu zangu tuendelee kupeana michongo.

Na huu ndio mchongo uliotolewa na jeshi la magereza nchini.

Vigezo kuanzia Form 4 na kuendelea.

Kama unahisi huu mchongo unakufaa bhasi usisite kuchangamkia fursa.

TUCHANGAMKIE FURSA.
TUCHANGAMKE MICHONG

#Tupeane michongo
#Tupeane michongoView attachment 1955775
PDF IPO MWISHO HAPO UNAWEZA FUNGUA UKAPATA MAELEZO ZAIDI.

PIA WANAHITAJI WAJUZI WA FANI MBALIMBALI KAMA

GRAPHICS DESIGNER
IT

N.K

TUCHANGAMKIE FURSA
 
Mchongo wa mpunga mrefu.

Mchongo wa uhakika.
Screenshot_20210928-131303_LinkedIn.jpg
 
Back
Top Bottom