Uzi kwa ajili ya kupeana michongo

Uzi kwa ajili ya kupeana michongo

Huo
IMG-20210929-WA0027.jpg
 
Namna gn ya kuapply hii kazi

Na kwakua umesema umeshafanya interview sio mbaya ukishare pia ni kitu gn wanaangalia sana au wanatafuta mtu wa aina gn

Pia mwisho wa kutuma maombi ni lini?
Kwa maana ingine wanatafuta Hotel assistant Manager.
Wanataka uwe na elim kuanzia degree mkuu
Pia uwe na experience ya kutosha kwenye kazi zako za nyuma.....
 
Natafuta soko la wateja na kuwauzia karatasi aina zote kutoka nchini China... ni useme ni aina gani ya karatasi unahitaji.

Unaweza usiwe na mtaji ila una CONNECTION to connection ukafanikisha biashara ifanyike. Maana una percent yako ni biashara endelevu.

Uaminifu ni kitu cha kwanza janja janja hakuna. Uaminifu ni mtaji.

mkuu karatasi aina gani unazozikusudia hapo bado sijakuelewa nahitaji ufafanuzi wa ziada
 
Ungefafanua unauza karatasi za aina ipi na kwa gharama ipi

Mfano mm naweza kununua hata kontena tano la karatasi hizi za lim paper used.
Kikubwa ww niambie kama unazo na unauza kwa bei gn kwa kilo hata zijae kontena kumi, kikubwa taja bei yako kama nitaona ni nzuri, tutafanya biashara

rim paper used ndio karatasi aina gani hizo?
 
Wakuu nahitaji kazi ya ulinzi ,
Nimehitimu kidato cha nne,
Nina uwezo wakuzungumza Kiswahili pia kiingereza.
Nimepitia mafunzo mbalimbali pamoja na kupata elimu ya customer care, risks assessment n.k
Haswa makampuni ya ulinzi na yaliyosajiliwa kisheria na hayasumbui kwenye mishahara.
Nina udhoefu kwa miaka mitatu, na nimepitia mgambo pia urefu wangu ni 5.57.
Mawasiliano Yangu 0742186254
Upo mkoa gani mkuu
 
Natafuta mchongo wowote wa IT
Kuanzia Applications development ,
Website design,
Website Hosting,
CALL/ WHATSAPP = 0762 75 31 40
 
Mimi natafuta mchongo wa General manager,F&b(food and beverage)manager na pia barmanager.
 
Natafuta soko la wateja na kuwauzia karatasi aina zote kutoka nchini China... ni useme ni aina gani ya karatasi unahitaji.

Unaweza usiwe na mtaji ila una CONNECTION to connection ukafanikisha biashara ifanyike. Maana una percent yako ni biashara endelevu.

Uaminifu ni kitu cha kwanza janja janja hakuna. Uaminifu ni mtaji.
Ni pm number
 
Jamani mpaka sasa bado natafuta kazi ya ulinzi kwenye makampuni yaliyosajiliwa kisheria.
Nimehitimu form 4 .
Udhoefu wangu wa miaka mitatu nikiwa kwenye ulinzi .
Nimesoma maswala ya haki za binadamu.
Risk Assessment , customer care n.k
Urefu wangu 5.57 .
Kazi ninaipenda na ntaifanya kwa weledi wangu.
Nahitaji kampuni iliyosajiliwa kisheria na inatoa mkataba kwa mfanyakazi.
Pia nina uwezo wakuzungumza kiswahili na kiingereza.

Mawasiliano Yangu
0745186254/0789850480 pia unaweza nicheki kwa email:williammawazo63@gmail.com
Wenu
Ashomile .
 
FOR WHO IT MAY CONCERN;

I'm a young man of 32 yrs Old,I hereby write to indicate my interest for any vacant position in your Project or company according to my education level. I am a young and passionate individual with sound knowledge of client management and relationship. My Education level is Ordinary Level/College.

I used to work in a park (Serengeti) as a Curio Shop Cashier and Attendant since 2016,Waiter/Bartender in Tented Lodge,e.t.c . I have enough experience in various activities related to tourism because I was in a places that meets people in Tourism field such as Tour Guides, Camps and Lodges Workers,Balloon Crew and Tourists as well. Due to COVID-19,I had to go back home, so at present I haven't a specific job.

I will look forward to hearing from you, while I am available for an interview at your convenience.

My PM is OPEN. You're warmly welcome!
 
Back
Top Bottom