Mtumaini Mungu
JF-Expert Member
- Aug 3, 2021
- 879
- 1,084
Njoo kwa Mungu, michongo kibao kaka mdogo.Tupeane michongo
Tupeane michongo
Tupeane michongo
Tupeane michongo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo kwa Mungu, michongo kibao kaka mdogo.Tupeane michongo
Tupeane michongo
Tupeane michongo
Tupeane michongo
Unamichongo gan na unapatikana wapi?Njoo kwa Mungu, michongo kibao kaka mdogo.
Mungu ndiye mwenye michongo kwaajili yako, na Anapatikana hapo hapo ulipo.Unamichongo gan na unapatikana wapi?
Ameen. Itakuwa vyema zaidi kwa manufaa ya wanaosoma uzi huu kwahy karibu na utupe mchongo au njian ya kupata mchongo ilimradi inaweza saidia ndugu zetu jamaa zetu kupata michongo wakaweza kuendesha maisha..Mungu ndiye mwenye michongo kwaajili yako, na Anapatikana hapo hapo ulipo.
Nikufundishe jinsi ya kukutana nae?
Yupo njian kuja kukujibu..Changanua Bei zako na Aina ya karatasi
Shukran sana kwa kutokuwa mchoyo wa michongo.kuna uhitaji wa nafasi ya receptionist , hasa kwa jinsi ya kike maeneo ya dar es salaam... upanga dar free market (pm kwa mwenye uhitaji)
asante ...na uhitaji ni wa kweli kama una mdogo wako au ndugu jamam na rafiki tusaidianeShukran sana kwa kutokuwa mchoyo wa michongo.
Ndugu mwenye uhitaji wa mchongo ili kukimu maisha yako bhasi ni huu kama upo na unahitaji..
Kigezo
Jinsia ya kike itapewa kipaumbele
Hivyo fursa hii..
Aah vizuri kama hutojali ungeweka pia mawasiliano yako...[emoji120]asante ...na uhitaji ni wa kweli kama una mdogo wako au ndugu jamam na rafiki tusaidiane
Mkuu habari yako ninandugu yangu yupo Ni jinsia ya kike naomba mawasiliano yako Kama hutojali nimuunganishe mchongo huu AsanteAah vizuri kama hutojali ungeweka pia mawasiliano yako...[emoji120]
Shukran sana kwa kutokuwa mchoyo wa mchongo naiman kuna ambaye anatufaika na mchongo huu..Nahitaji mfanyakazi wa ndani,awe na jinsia ya kike,umri kati ya miaka 18-40 atakula na kulala kwangu,in case of emergency kama ataugua nitagharimia matibabu mimi,kuna issues kama za sikukuu ama mapumziko nitagharimia mimi,location ni Arusha mjini
Shida ni mawasiliano,hawako jfasante ...na uhitaji ni wa kweli kama una mdogo wako au ndugu jamam na rafiki tusaidiane
0765811084Shida ni mawasiliano,hawako jf
Tegemea simu zisizokua na idadi ujichagulie mwenye vigezo bora, ukitokea mchongo wa General Manager,F&B manager tafadhali tujuzane0765811084
Karibu mkuuTegemea simu zisizokua na idadi ujichagulie mwenye vigezo bora, ukitokea mchongo wa General Manager,F&B manager tafadhali tujuzane
[emoji120]Shida ni mawasiliano,hawako jf
Shukran0765811084