Uzi kwa ajili ya kupeana michongo

Uzi kwa ajili ya kupeana michongo

Nipeni mchongo ndugu zangu nipo juu ya vigogo sina mchongo mishe yeyote sehemu yeyote nafanya ilimradi mkono uende kinywani
Naam kumaliza kuwa mishe hiyo au mchongo bhas uwe halali ili apate kujikwamua kimaisha na mkono uendee kinywani..

#Tupeane Michongo
#Tupeane Michongo
#Tupeane Michongo
#Tupeane michongo
 
Kwa ambaye hata jali kuna site nimeianzisha ni mpya ambayo nategemea pia kuitangaza kupitia social networks kwa kurun ads.Site hii nimeitengeneza kwaajili ya watu kupeana michongo,kivipi?
Ni site ambayo unajisajili bure kisha unaandika huduma/service unayoitoa na kujaza details zote muhimu.Kwahyo mtu yeyeote ambaye anashida na huduma/utaalamu kama huo ataweza kuona na kisha kufanya mawasiliano nawewe mhusika.Site hiyo iko chini hapa sautipesa.com
 
Kwa ambaye hata jali kuna site nimeianzisha ni mpya ambayo nategemea pia kuitangaza kupitia social networks kwa kurun ads.Site hii nimeitengeneza kwaajili ya watu kupeana michongo,kivipi?
Ni site ambayo unajisajili bure kisha unaandika huduma/service unayoitoa na kujaza details zote muhimu.Kwahyo mtu yeyeote ambaye anashida na huduma/utaalamu kama huo ataweza kuona na kisha kufanya mawasiliano nawewe mhusika.Site hiyo iko chini hapa
Site haionekani mkuu
 
Wakuu habarini
Nimehitimu shahada ya uhasibu ifm 2018 ,Naombeni msaada wakuu connection sina nimehangaika sana kutafuta kazi
Anashahada ya UHASIBU amehitimu 2018..
Na anaendelea kuhangaika kutafuta kazi.
Kama kuna mwenye mchongo wa Uhasibu bhasi ampe mchongo ndugu ili aweze kusongesha maisha yake..

Pia unaweza mshauri nini afanye au njia gani atumie ili kupata mchongo...

TUPEANE MICHONGO

Daah , Nashukuru Sana mkuu Mungu azidi kukubariki endelea kunisupport nipate japo nipate ata sehemu ya kujitolea maana mtaani kungumu sana
 
Back
Top Bottom