Uzi kwa ajili ya kupeana michongo

Uzi kwa ajili ya kupeana michongo

Wanazengo me ni fundi umeme wa magari connection iwe binafs au company au garage yenye kazi za kutosha poa maana nina uwezo wa kupiga kazi 24hrs uzoefu wangu over 5 yrs ndani ya umeme wa magri popote nafanya kazi ndgu zang kwa sasa naishi bunju dar es salaam
Hujasema unapatikana wapi, na wapi unaweza fanya kazi kama ikipatikana
 
Habari nimeamua kuadika uzi huu kwa lengo la kusaidiana hasa kwa wale pata shida kwa kukosa ajira na kuishi kulimbikiza stress kichwa na wakti mwingine kufikia kujiwazia mabaya katika maisha yao.

Hivyo bhasi niombe wanzengo kama kuna mwenye mchongo wowote ilhali ni salama na usio kinyume sheria unaweza share ili kusaidia jamii yetu.

Lengo ni kujikwamu kimaisha.

Pia unaweza share mchongo+

Ushauri

Ahsanteni naomba kuwasilisha.

#Tupeane Michongo.
Binafsi nahitaji watu wa kushirikiana nao kufanya matangazo yaani wawe kama mawakala wa kuuza viwanja.

Kwasasa tuna miradi Vikindu, kisemvule na baadhi ya maeneo ya Mkuranga.

Wakala atalipwa kwa kila mteja atayemleta na kununua.

Kwa maelezo zaidi nicheck PM
 
Ndugu zangu ndugu yenu sina mishe ila ujuzi wangu ni dereva leseni yangu C,1 naendesha gari yeyote ila hata kukaa kushoto nipo tayari nipeni mchongo ndugu zangu ikitokea kama mwenye canter au Isuzu tani 3 au 3na nusu kazi hii na uzoefu nao hata kama nilete kipande kwa wiki tukikubaliana naleta .najua humu kuna watu mbalimbali naombeni nipeni connection
 
Karibu

Tupeane michongo
Tupeane michongo
Tupeane michongo
Tupeane michongo
 
Hujambo?

Asilimia 93.731% ya wanaoomba connection kwenye huu uzi ni rank tatu tu.. New Member, Member na Senior Member.

Roho wa Bwana kuna kitu ananiambia.. Something should be done urgently.

Injection @ work..

KIRANJA MKUU
Tupeane michongo
Tupeane michongo
Tupeane michongo
Tupeane michongo
 
Back
Top Bottom