De Rabbits slick
Senior Member
- Mar 18, 2018
- 167
- 166
- Thread starter
- #161
Shukran sana kwa mchango wako.Nimeweka uzi natafuta meli mbovu kubwa na ndogo
Kwa ufafanuzi zaidi je meli hizo ziwe aina yoyote ile ilimradi iwe meli..[emoji120]
Na je kwa maeneo gan hata nje ya nchi unachukua?
Asante
Tuendelee kupeana michongo