Uzi kwa ajili ya kupeana michongo

Uzi kwa ajili ya kupeana michongo

Double tree hotel DSM masaki wanapokea CV wanataka kufungua hotel zote mbili mwezi ujao November, wahi na CV yako hii ni kwa idara zote
 
Urgent Hiring!!

An upcoming mid-scale hotel in Dar es Salaam is looking to hire below positions,

1. Sales Executive / Asst. Sales Manager
2. Asst. Sous Chef / Sous Chef
3. Asst. F&B Manager
4. Asst. Front Office & Reservations Manager
5. HK Supervisor
6. Accounts Assistant

Positions are open only for Tanzanian national.

Interested candidates please send your resume with latest photo to mail address
info@raw-hospitality.com
 
Ahsante Sana Mtoa Uzi huu,umefanya kile Muumba wako amekuwezesha kufanya Kwa ajili ya watu wengine na hii ndio inatakiwa!
Ila kiukweli wabongo tuache kubaniana,tuache choyo,huwezi kuwa mtu tajiri au mwenye mafanikio yenye furaha kama umezungukwa na kundi la masikini au watu wasio na ajira,mtoe mwenzio huwezi jua nawe utatolewa Kwa style gani,kwanza hakuna aliyefika juu bila kushikwa mkono.Bongo bila connection huwezi toka Uwe una vigezo au huna kama huna connection sio rahisi kutoka! Unaona hata viongozi wetu wakisha pata madaraka wanazilinda connection zisitoke nje ya watoto au watu wao na kuwaacha wengi hawana pa kushika.
Nije Kwa upande wa sisi pia wasaka ajira,hakikisha unakuwa apdated,chapa CV zako vizuri scan vyeti vyako vizuri weka mtandaoni,enzi za kuzunguka na bahasha zimeisha pitwa na wakati,like pages follow pages zinazo toa ajira mfano Kwa wale wenya ma CV makubwa ingia mtandao wa LinkedIn huko kazi Yao kubwa ni mambo hayo,fanya setting za kile ulichosomea utakuwa unapata notifications Kila aina ya kazi inaendana na wewe! Pia wale madogo wasomi wasomi miaka 19 Hadi 20 ,30 Kuna ki website kinaitwa Youthop wanatoa Sana ufadhiri wa madogo kwenda kusoma nk!
Na wewe ukifanikiwa acha kuwabania wenzio,toa connection Kwa watoto wa masikini acha roho mbaya! Watatubania TU ila siku Mungu Atatutoa TU na sisi.
Ma HR acheni roho mbaya! Wakuu wa ma NGOs wanakuja na mishahara kabisa wakifika bongo mnaanza kuwapanga wapunguze mishahara! Nna ushahidi wa kutosha wa ma HR wenye roho za chawa kama Hawa.Sio POA umasikini wangu ndio umasikini wako.
Muanzisha Uzi una nafasi Yako peponi.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Shida watz hatutaki kuelimika.
Unampa mtu ramani ya kazi,unabaki wewe kuwa kama refer wake unamsifia kweli ili apate mchongo na kweli amesoma na vigezo anavyo.
Cha kushangaza mtu anakuja ajachana nywele,mchafu kavaa kisuruali cha kubana,anakuja na vyeti original hana hata copy bhas hata soft copy jamani.
Mzungu anakuita anakwambia huyu ndio mtu wako?unaona hata aibu kumkubali...
Jaman tubebane vipi lakini?
Usichanganye uhuni na maisha yako.
 
Ubarikiwe sana ndugu yangu hakika utalipwa mema kwa huu msaada utoao japo ni mdogo lakin n mkubwa sana katika maisha ya moja wetu humu mnufaikaji..

Ndugu zangu fursa zinapotokea bhas tuchangamkie ili kujikwamua tusirudi nyuma..
 
Ahsante Sana Mtoa Uzi huu,umefanya kile Muumba wako amekuwezesha kufanya Kwa ajili ya watu wengine na hii ndio inatakiwa!
Ila kiukweli wabongo tuache kubaniana,tuache choyo,huwezi kuwa mtu tajiri au mwenye mafanikio yenye furaha kama umezungukwa na kundi la masikini au watu wasio na ajira,mtoe mwenzio huwezi jua nawe utatolewa Kwa style gani,kwanza hakuna aliyefika juu bila kushikwa mkono.Bongo bila connection huwezi toka Uwe una vigezo au huna kama huna connection sio rahisi kutoka! Unaona hata viongozi wetu wakisha pata madaraka wanazilinda connection zisitoke nje ya watoto au watu wao na kuwaacha wengi hawana pa kushika.
Nije Kwa upande wa sisi pia wasaka ajira,hakikisha unakuwa apdated,chapa CV zako vizuri scan vyeti vyako vizuri weka mtandaoni,enzi za kuzunguka na bahasha zimeisha pitwa na wakati,like pages follow pages zinazo toa ajira mfano Kwa wale wenya ma CV makubwa ingia mtandao wa LinkedIn huko kazi Yao kubwa ni mambo hayo,fanya setting za kile ulichosomea utakuwa unapata notifications Kila aina ya kazi inaendana na wewe! Pia wale madogo wasomi wasomi miaka 19 Hadi 20 ,30 Kuna ki website kinaitwa Youthop wanatoa Sana ufadhiri wa madogo kwenda kusoma nk!
Na wewe ukifanikiwa acha kuwabania wenzio,toa connection Kwa watoto wa masikini acha roho mbaya! Watatubania TU ila siku Mungu Atatutoa TU na sisi.
Ma HR acheni roho mbaya! Wakuu wa ma NGOs wanakuja na mishahara kabisa wakifika bongo mnaanza kuwapanga wapunguze mishahara! Nna ushahidi wa kutosha wa ma HR wenye roho za chawa kama Hawa.Sio POA umasikini wangu ndio umasikini wako.
Muanzisha Uzi una nafasi Yako peponi.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Shukran sana kiongozi.[emoji120]

Hakika umeongea maneno ya uchungu sana na yenye busara sana ndani yake.

Kama binadamu sio vyema kufanya hiana kwa mwenzio ilhali unajua nawe ipo siku isiyo na jina yote uliyonayo utakufa utayaacha kwann sasa uwe mchoyo na roho mbaya katika kuwasaidia mwenzio, ulipofika hapo lazma nawe ulisaidiwa bhas wasaidie na wenzio nao waweze kujikwamua na hali mbaya walizonazo.
Usikae na kuwalaumu kuwa wao n wazembe hawatafuti sijui ajira, sjui hawazungushi barua na CV.
Bado tatzo lipo pale kwenye mfumo unaweza kuzungusha barua dunia nzima kwa mguu na bado ukaishia kuumwa miguu na hata usiitwe kwenye interview lakni wapo ambao hata kutembeza Cv hawafanyi wapo sebulen wametia miguu wanaitwa na kupewa kazi bila hata hiyo interview, kwanini, jibu ni anaconnection na Muhusika flan, We uliyezungusha kibarua chako na Cv nani atakuona..
Na siku kazi zinatolewa kwa geresha tu lengo n kuondoa mzizi wa fitna kuwa wametangaza ajira ila wanajua kabisa kazi hii ni flani anapatiwa nyie mtaenda 1000 lakini ajira ile ni ya FANUEL wa Flani flan.

Ndugu zangu tusiwe na roho choyo dunia inapita na sisi sote twapita tuishi kwa kusaidia na kupendana.

Hatujui kesho Yetu ikoje.

Asante sana.
Sisi tusio na connection bhas tuishi kwa stahili hii ya kuendelea kupeana michongo.

TUPEANE MICHONGO
TUPEANE MICHONGO
TUPEANE MICHONGO
 
Shukran sana kiongozi.[emoji120]

Hakika umeongea maneno ya uchungu sana na yenye busara sana ndani yake.

Kama binadamu sio vyema kufanya hiana kwa mwenzio ilhali unajua nawe ipo siku isiyo na jina yote uliyonayo utakufa utayaacha kwann sasa uwe mchoyo na roho mbaya katika kuwasaidia mwenzio, ulipofika hapo lazma nawe ulisaidiwa bhas wasaidie na wenzio nao waweze kujikwamua na hali mbaya walizonazo.
Usikae na kuwalaumu kuwa wao n wazembe hawatafuti sijui ajira, sjui hawazungushi barua na CV.
Bado tatzo lipo pale kwenye mfumo unaweza kuzungusha barua dunia nzima kwa mguu na bado ukaishia kuumwa miguu na hata usiitwe kwenye interview lakni wapo ambao hata kutembeza Cv hawafanyi wapo sebulen wametia miguu wanaitwa na kupewa kazi bila hata hiyo interview, kwanini, jibu ni anaconnection na Muhusika flan, We uliyezungusha kibarua chako na Cv nani atakuona..
Na siku kazi zinatolewa kwa geresha tu lengo n kuondoa mzizi wa fitna kuwa wametangaza ajira ila wanajua kabisa kazi hii ni flani anapatiwa nyie mtaenda 1000 lakini ajira ile ni ya FANUEL wa Flani flan.

Ndugu zangu tusiwe na roho choyo dunia inapita na sisi sote twapita tuishi kwa kusaidia na kupendana.

Hatujui kesho Yetu ikoje.

Asante sana.
Sisi tusio na connection bhas tuishi kwa stahili hii ya kuendelea kupeana michongo.

TUPEANE MICHONGO
TUPEANE MICHONGO
TUPEANE MICHONGO
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Shida watz hatutaki kuelimika.
Unampa mtu ramani ya kazi,unabaki wewe kuwa kama refer wake unamsifia kweli ili apate mchongo na kweli amesoma na vigezo anavyo.
Cha kushangaza mtu anakuja ajachana nywele,mchafu kavaa kisuruali cha kubana,anakuja na vyeti original hana hata copy bhas hata soft copy jamani.
Mzungu anakuita anakwambia huyu ndio mtu wako?unaona hata aibu kumkubali...
Jaman tubebane vipi lakini?
Usichanganye uhuni na maisha yako.
Kabisa kiongozi ifike wakati tujitambue.
Tuache kushikilia ujinga usio na manufaa

Tubadiliken jamani
 
Hello Samahani Naweza Kupata Mtu Ambaye Anauza Simu Tufanye Nae Biashara
 
Smart Phone Itapendeza Zaidi ikiwa Ni Iphone
Kama nmekupata vyema ni kwamba unahitaji kupata muuzaji wa simu ili upate kununua simu kwa matumizi yako binafsi na sio kushirikiana kibiashara kwa namna moja au nyingine[emoji1740]
 
Back
Top Bottom