De Rabbits slick
Senior Member
- Mar 18, 2018
- 167
- 166
- Thread starter
- #501
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
gramfree.cc
gramfree.cc
gramfree.cc
Ungetaja budget yako,ingependeza zaidi..Natafuta Mota used horsepower 20-25kwa ajili ya kusaga nafaka, mwenye connection please
Nipo Arusha boss. Namba yangu 0679974497Habari Nina kampuni ya ulinzi nahitaji kufungua branches sehemu mbalimbali hivo mwenye interest na uzoefu anaweza nichek PM tuyajenge kwa ushirikiano wa uaminifu
Urgent Hiring!!
An upcoming mid-scale hotel in Dar es Salaam is looking to hire below positions,
1. Sales Executive / Asst. Sales Manager
2. Asst. Sous Chef / Sous Chef
3. Asst. F&B Manager
4. Asst. Front Office & Reservations Manager
5. HK Supervisor
6. Accounts Assistant
Positions are open only for Tanzanian national.
Interested candidates please send your resume with latest photo to mail address
info@raw-hospitality.com
Nisaidie no yako bossOfa ofa!!!!Naunganisha GB 72 kwa mwaka mzima kwa mtandao wa tigo kila mwez utapata GB 6 Ambazo unatumia siku 14 kila mwez kwa mwaka mzima
Free call tigo kwenda mitandao yote kwa miaka 2 kuungwa
[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115] Wanaohitaji njoo Pm
Huduma zote malipo Ni baada ya kaz nahitaji watu walio seriously TU pm usije pm kunijaribu Kama maelezo hayajitoshelez niulizie hapa hapa
Karibuni[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
sawa mkuu unaweza ukanisaidia mawasiliano mkuuAsante kaka karibu pia
Nishakutumia mkuuNisaidie no yako boss
Utuletee na mrejeshoNisaidie no yako boss
Poa poa bossUtuletee na mrejesho
Mkuu Nina ndugu yangu Yuko Marekani kila siku alikuwa ananiuliza kuhusu hili dili, anasema kule simu ziko used nyingi.Nachohitaji Nipate Mtu Mwenye Mzigo Wa Simu Nifanye Nae Biashara
Kwanini asiwe anakutumia hizo simu ised uwe unauza? Hata hilo linahitaji connecrion ya masoko?Mkuu Nina ndugu yangu Yuko Marekani kila siku alikuwa ananiuliza kuhusu hili dili, anasema kule simu ziko used nyingi.
Kama uko serious tuongee dili tuone namna tunaweza kuwa tunafanya ili mzigo uwe unakuja bongo.
Lakini pia Kuna vitu vingine used vingi Kama matrekta ya kilimo na vifaa vya Ujenzi Kama Kuna mtu ana connection ya masoko Basi tunaweza zungumza maana tuna mtu tayari Yuko ng'ambo.
NB: matapeli kaeni mbali.