Uzi kwa ajili ya kupeana michongo

Uzi kwa ajili ya kupeana michongo

Wakuu habari zenu.

Kuna mzee ana hali ngumu sana. Ni dereva na pia amesomea mambo ya logistics
Amefanya kazi UNHCR, WHO, Doctors with Africa. Kwa ufupi CV yake inatisha.
Ana recommendation letters kutoka WHO na UNHCR na reliable referees.
Kama kuna nafasi ya udereva au logistics officer wakuu naomba tumuunganishe. Mzee naa hali tete sana. Leseni yake ni kubwa.
 
KAZI ZOTE HIZO ANAKUWAJE NA HALI MBAYA?
 
Ingia hapo ukutane na maconection ya pesa
 
Wakuu habari zenu.

Kuna mzee ana hali ngumu sana. Ni dereva na pia amesomea mambo ya logistics
Amefanya kazi UNHCR, WHO, Doctors with Africa. Kwa ufupi CV yake inatisha.
Ana recommendation letters kutoka WHO na UNHCR na reliable referees.
Kama kuna nafasi ya udereva au logistics officer wakuu naomba tumuunganishe. Mzee naa hali tete sana. Leseni yake ni kubwa.
Mkuu naomba kujua umri wake kwanza tuone Kama anaweza fit mahali flani
 
Nipeni mchongo jamani.
MO%20GFX-1.jpg
 
Habari ya usiku wana jf wote jamani nina shida na msichana aliyesomea computer sifa ajue adobe tu antafute kwa 0713133744
 
Wakuu kuna ndugu anahitaji mchongo wowote halali, ni mkaka ana elimu ya form 6 division 2 hajaenda chuo mwaka huu, hivo kwa niaba naomba kama kuna sehemu yoyote hata manual works ataweza. Ni mkaka fulani anajitambua sana hivo hatokuangusha kwenye kazi yoyote utakayompa.
Tunaowategemea watupatie michongo nao wanawaombes watu michongo kwa watu wengine polepole tutafika mji wenye mito ya maziwa na asali
 
Njoo nikuunge gb 72 za mwaka mzima KILA mwezi gb 6 kwa siku 14 kwa mwaka mzima seriously people Pm
[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]Malipo ni kabla ya kazi

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom