Uzi kwa ajili ya kupeana michongo

Uzi kwa ajili ya kupeana michongo

Mzee baba umefikaje bariadi..wasalimu wanyantuzu..sogea dutwa hapo kuna machimbo.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
Haya maisha we acha tu kutoka Manzese mpka bariadi sio poa

Hayo machimbo sidhani kama unaenda kienyeji kama inawezekana embu nijuze nafanyaje nizamie huko


By the way wadada wa kinyantuzu weupe wazuri sana ngoja nile kwa macho tu [emoji3]

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Ninahitaji Mwalimu wa kuwafanyia watoto wangu tutorial baada ya masaa ya shuleni (kuanzia saa 9-12 jioni). Watoto ni watatu (3) na wapo madarasa ya Middle class, Class one, na class Six! Awe na sifa za kujitosheleza! Nipo Arusha.
 
Mimi ni Mwalim mzoefu kwasasa hali ni tete, nafundisha masomo ya Kiswahili na Historia kuanzia Olevel mpk Alevel. Mwenye connection aniokoe na hii hali ninayopitia. 0654973754
 
Habari wakuu! ninahitaji mtu wa kufanya kazi kama kibarua kwenye duka la vinyaji linaloanza.

SIFA:- Afahamu kuendesha pikipiki,Awe anapatikana maeneo ya KIBAHA LOLIONDO/KIBAHA MAILI MOJA, Awe na mtu/watu watakaomdhamini.

Kwa maelezo zaidi nicheki PM

Natanguliza shukrani.
 
kuna kampuni inaitwa Gardaworld ipo mikocheni b...kituo kinaitwa kwa mwinyi kampuni hiyo ni ya ulinzi...inahitaji madereva nenda ukiwa na leseni yako orginal, cheti cha shule kuanzia msingi hadi sekondary...vyeti orginal...leseni yako halali kabisa bila kusahau cheti cha kuzaliwa pamoja na namba ya nida au kitambulisho cha nida...kama unavyo vitu hivyo jumatatu fanya uende ukafanye interview...wataarifu na madereva wengine wenye uhitaji
Wewe ulifanikiwa kwenda!?
 
Habari wakuu! ninahitaji mtu wa kufanya kazi kama kibarua kwenye duka la vinyaji linaloanza.

SIFA:- Afahamu kuendesha pikipiki,Awe anapatikana maeneo ya KIBAHA LOLIONDO/KIBAHA MAILI MOJA, Awe na mtu/watu watakaomdhamini.

Kwa maelezo zaidi nicheki PM

Natanguliza shukrani.
Jamani...bado anasubiriwa...
 
Haya mchongo huu hapa sio wa kubahatisha..
Suka CV yako murua hata ukiweza danganya kwenye maandishi nifresh tu..ila hakikisha watakapokupigia Zoom ama Skype ujibu interview ki ufasaha lah!usijipotezee mda.

Pia kuna namba hapo unaweza kupiga kwa maulizo zaidi.
Kazi kwenu
Screenshot_20220211-230941_LinkedIn.jpg
Screenshot_20220211-230932_LinkedIn.jpg
Screenshot_20220211-230917_LinkedIn.jpg
 
Back
Top Bottom