Kwa hali ya sasa nchini ni kupoteza mda
Ni kweli unachokisema but huwez chukulia ndivyo ilivyo kwann wengine wanasoma na wanapata ajira japo kweli shida ipo.
Kwa sasa kiukweli mfumo wa ajira umekuwa wa kiubinafs sana kwa kweli bila kuwa na kujuana flan bs n mtihan kupata kazi hiyo inajulikana.
Wacha sie tuendeleze uzi wetu wa kupeana michongo.
Kama mwanzilishi wa uzi huu naamini ipo siku mmoja wetu humu atakuja na kutushare furaha yake juu uzi huu kumsaidia kupata ajira..
OMBI LANGU NDUGU ZANGU.
Tuchangamkie fursa.
Mtu anapotoa mchongo bs uwe wa kweli na usiwe na kiurushwa ndani yake. Tupeane michongo kwa roho ya udungu. Kumbuka unapotoa mchongo nawe kesho utakuja kupewa mchongo hata kama sio wewe bs hata ndugu yako au mwanao.
Ahsanteni sana kwa kwa ambao wameendelea kutoa michongo mbalimbali naomba niwasihi msiishie hapo kwa kuwa hakika kuna baadhi ya watu wananufaika na kizur kidogo chenu kinawafanya japo watoke katika hali walionayo sasa coz kuna hata wengine wamekata tamaa na hata kutaman kujiua kwa ukosefu wa ajira.
Ndugu zangu maisha tunayoyaona sisi na tunayopitia sisi kuna wengine wapo katika hali mbaya zaidi na hata faraja wamekosa bs kwa uzi hakika unaweza japo kuwarudishia faraja ya kupata japo ajira ya kuokoa maisha yao..
Tupeane Michongo jamanii dunia ni safari yawezekana ukatangulia na bado usifike wakwanza bali alichelewa ndio akafika wa kwanza.
Ahsanteni sana.
Wanashukuru nyote.
Na nimepata taarifa ya mmoja wetu alifanikiwa kupata ajira kupitia uzi bs nanyi muendelee kuchangamkia fursa.
#TUPEANE MICHONGO
#TUPEANE MICHONGO
#TUPEANE MICHONGO
#TUPEANE MICHONGO.
Sent from my SM-A115F using
JamiiForums mobile app