Uzi kwa ajili ya kupeana michongo

Uzi kwa ajili ya kupeana michongo

kuna kampuni inaitwa Gardaworld ipo mikocheni b...kituo kinaitwa kwa mwinyi kampuni hiyo ni ya ulinzi...inahitaji madereva nenda ukiwa na leseni yako orginal, cheti cha shule kuanzia msingi hadi sekondary...vyeti orginal...leseni yako halali kabisa bila kusahau cheti cha kuzaliwa pamoja na namba ya nida au kitambulisho cha nida...kama unavyo vitu hivyo jumatatu fanya uende ukafanye interview...wataarifu na madereva wengine wenye uhitaji
Hizi bado zipo kaka?
 
Juzi rais aliwakabidhi wakuu wa mikoa kazi ya kusambaza anuani za makazi. Naomba kujua je wahusika wa kusambaza izo anuani ni akina nani. Sisi tulioko huku vijijini huwa tunashangaa sana mabraza men wanaotoka mjini wanakuja kupiga kazi za party time jobs kama hizo sisi tumeduwaaa tuu. Tupeane muchongo zoezi hilo linaendaje????nani analiratibu je wana tuombe kama kuna party time jobs?????
 
customer care wa kike anahitajika.
Awe anajua kingereza vizuri.
Awe nadhifu na mwenekano mzuri.

Atapewa mkataba kamili..
Atapata accommodation,
Transport na meal allowance.

Business Restaurant
Location ni [emoji1190] oman

Kwa maelezo zaidi +255 689 064 080.

Pia wanahitajika Barista wawili wa kike
 
Vijana wenye uitaji Wa kazi ya ulinzi njoeni Gardaworld security company bado wana nafasi nyingi
 
Kwa hali ya sasa nchini ni kupoteza mda
Ni kweli unachokisema but huwez chukulia ndivyo ilivyo kwann wengine wanasoma na wanapata ajira japo kweli shida ipo.

Kwa sasa kiukweli mfumo wa ajira umekuwa wa kiubinafs sana kwa kweli bila kuwa na kujuana flan bs n mtihan kupata kazi hiyo inajulikana.


Wacha sie tuendeleze uzi wetu wa kupeana michongo.

Kama mwanzilishi wa uzi huu naamini ipo siku mmoja wetu humu atakuja na kutushare furaha yake juu uzi huu kumsaidia kupata ajira..

OMBI LANGU NDUGU ZANGU.

Tuchangamkie fursa.

Mtu anapotoa mchongo bs uwe wa kweli na usiwe na kiurushwa ndani yake. Tupeane michongo kwa roho ya udungu. Kumbuka unapotoa mchongo nawe kesho utakuja kupewa mchongo hata kama sio wewe bs hata ndugu yako au mwanao.


Ahsanteni sana kwa kwa ambao wameendelea kutoa michongo mbalimbali naomba niwasihi msiishie hapo kwa kuwa hakika kuna baadhi ya watu wananufaika na kizur kidogo chenu kinawafanya japo watoke katika hali walionayo sasa coz kuna hata wengine wamekata tamaa na hata kutaman kujiua kwa ukosefu wa ajira.
Ndugu zangu maisha tunayoyaona sisi na tunayopitia sisi kuna wengine wapo katika hali mbaya zaidi na hata faraja wamekosa bs kwa uzi hakika unaweza japo kuwarudishia faraja ya kupata japo ajira ya kuokoa maisha yao..

Tupeane Michongo jamanii dunia ni safari yawezekana ukatangulia na bado usifike wakwanza bali alichelewa ndio akafika wa kwanza.


Ahsanteni sana.

Wanashukuru nyote.
Na nimepata taarifa ya mmoja wetu alifanikiwa kupata ajira kupitia uzi bs nanyi muendelee kuchangamkia fursa.


#TUPEANE MICHONGO
#TUPEANE MICHONGO
#TUPEANE MICHONGO
#TUPEANE MICHONGO.


Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Je unahitaji kipi kati ya hivi?
1. LOGO
2.MATANGAZO YA KUPOST ONLINE(POSTERS)
3.BANNERS or STICKERS

Tupigie /Watsup 0766348089
MO%20GFX-1.jpg
 
Back
Top Bottom