Uzi kwa wale wenye roho ngumu tu..

Mambo ya kosa la kisheria kuchunguza simu ya mwenza ya kwamba tunavunja sheria uhuru na privacy zake wewe tuachie sisi,lete ujuzi mzee
Ndo nimeamua kuwaletea kazi kwenu
 
Kama ananisaliti acha tu anisaliti kumuacha siwezi kisa cha kupata presha au kufwa ghafla nimuache anakula raha na mautamu na mabebez wake ni niniii
Hahaha mkuu!...
 
Hili la virus inategemea na version uliyochukua, ni kweli kuwa baadhi ya version zinakuja na virus na kusababisha simu kuwa nzito
Chief ungeweka hapa link ya hiyo version nzuri
 
huwa nachukilia kawaida tu mapenz haya tunaridhishana tu mwishowe tunapita duniani.
mwenyewe aliyemtoa msichana bikra ni kama waiter anavyonifungulia Serengeti bariiidi alafu bia naifurahia mimi.
Tafta amani ya moyo kwa kutafuta pesa mengine usikazie sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…