Uzi kwa wale wenye roho ngumu tu..

Uzi kwa wale wenye roho ngumu tu..

Mambo ya kosa la kisheria kuchunguza simu ya mwenza ya kwamba tunavunja sheria uhuru na privacy zake wewe tuachie sisi,lete ujuzi mzee
Ndo nimeamua kuwaletea kazi kwenu
 
Hili la virus inategemea na version uliyochukua, ni kweli kuwa baadhi ya version zinakuja na virus na kusababisha simu kuwa nzito
Chief ungeweka hapa link ya hiyo version nzuri
 
Mimi huwa naendelea kuwashauri wanaume wenzangu, kama ulimkuta mkeo na bikra Fanya hivyo, lakini kama hukumkuta Nayo ujue mkeo alitolewa bikra na kidume Fulani ndicho ambacho kimekutengenezea njia ya kupita so, usiwe na hasira na haina maana kumchunguza. Maana ulikubali kumuoa akiwa hivyo
huwa nachukilia kawaida tu mapenz haya tunaridhishana tu mwishowe tunapita duniani.
mwenyewe aliyemtoa msichana bikra ni kama waiter anavyonifungulia Serengeti bariiidi alafu bia naifurahia mimi.
Tafta amani ya moyo kwa kutafuta pesa mengine usikazie sana
 
Back
Top Bottom