Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahah ungesoma taifa tungekufikiriaTuliosoma mgulan primary naagulumbas
Hapo kwa kuchomekea sijawahi weza tangu vidudu had namaliza 6.Info kama zipi?
Experience niliyobakia nayo ni kujua miendo kadhaa ya kijeshi, sijui hata inanisaidia nini?
Kingine mbio za smart area, hee zimeongeza pumzi eneo flani [emoji1787]
Kingine stick…. Wajuba wako na fimbo zao spesho.
Kingine usmart wa hapa na pale.. unamkuta mtoto wa Azania ama Kisutu hajachomekea wala kuvaa tai, lkn sie wa jeshini unachomekea tokea unatoka kwenu mpaka unarudi kwenu.
Meja yeyeye unamkumbuka?,mataula je?Ila makongo dah achaa tu kitambo hicho cha marehemu afande miraji na babu chacha yule mwembamba mbona tulinyooka vilivyo hahahaa dah! Namkumbuka mwl wangu master na kenyaman malongoli hatari sauti ya simba
shule zote za jeshi ni kongwe pia 1970s
Sio wote nawakumbuka EvilSpirit labda wakati wa kwenda kula jolo ndio naukumbuka hadi leo tena mimi na wanangu tulikua tunaweka booking mapema ili tule pure la mama Kipingu 🤣🤣🤣Meja yeyeye unamkumbuka?,mataula je?
Sio wote nawakumbuka EvilSpirit labda wakati wa kwenda kula jolo ndio naukumbuka hadi leo tena mimi na wanangu tulikua tunaweka booking mapema ili tule pure la mama Kipingu
Hujasoma makongo Meja yeye na ukorofi wake wote ule humkumbuki? Hamna mtu aliyepita makongo asimjue huyu jamaa alikuwa second masterSio wote nawakumbuka EvilSpirit labda wakati wa kwenda kula jolo ndio naukumbuka hadi leo tena mimi na wanangu tulikua tunaweka booking mapema ili tule pure la mama Kipingu 🤣🤣🤣
Duh....Info kama zipi?
Experience niliyobakia nayo ni kujua miendo kadhaa ya kijeshi, sijui hata inanisaidia nini?
Kingine mbio za smart area, hee zimeongeza pumzi eneo flani 🤣
Kingine stick…. Wajuba wako na fimbo zao spesho.
Kingine usmart wa hapa na pale.. unamkuta mtoto wa Azania ama Kisutu hajachomekea wala kuvaa tai, lkn sie wa jeshini unachomekea tokea unatoka kwenu mpaka unarudi kwenu.
Aisee...Genius
duh mwaka gan mkuuDuh....
Hebu tulonge....
Mimi ni mhenga wa Jite.....
Kwata kila mkifungua shule...
Unajua sisi tuliyajenga hayo madarasa, tulikuwa tunabeba karai za mchanga badala kwenda kusoma, wanatuambia hilo ndio litakuwa darasa lenu likiisha....
Huyo yeye simkumbuki labda wakina kisonga, Bosco mzee wa physics na Toto’s, Kombaa yule chiba wa kifaransa sema nilimaliza kitambo sana hata ile kantini ya coca ndio walikua wanaanza kujenga sasa wewe sijui wa mwaka gani mwenzangu?Hujasoma makongo Meja yeye na ukorofi wake wote ule humkumbuki? Hamna mtu aliyepita makongo asimjue huyu jamaa alikuwa second master
Wakati nasoma pale tulikua na kina makamua, Mc Ayubu, Jerryson Tegete shule ilikua haina hata fensi ya michongoma mlioikuta tulipanda sisi na bweni lilikua la mademu kwanza ndio baadae wakaongeza la machizi na huko area C na D ndio yalikua machimbo yetu Headmaster sarakikya baadae akaja kipingu na second master alikua mwaiseba dah! Those days it’s was tight sio lelemama kama ilivyo sasaHujasoma makongo Meja yeye na ukorofi wake wote ule humkumbuki? Hamna mtu aliyepita makongo asimjue huyu jamaa alikuwa second master
Zamani sana, wakati huo 70% ya walimu walikuwa wanafunzi wa chuo kikuu wanaopitia mafunzo ya JKT....duh mwaka gan mkuu
Nilimkuta kipingu na mwaseba.Wakati nasoma pale tulikua na kina makamua, Mc Ayubu, Jerryson Tegete shule ilikua haina hata fensi ya michongoma mlioikuta tulipanda sisi na bweni lilikua la mademu kwanza ndio baadae wakaongeza la machizi na huko area C na D ndio yalikua machimbo yetu Headmaster sarakikya baadae akaja kipingu na second master alikua mwaiseba dah! Those days it’s was tight sio lelemama kama ilivyo sasa
Nilikutana na kenyaman this year. Yule jamaa sio mkenya Wala Nini mzushi tuIla makongo dah achaa tu kitambo hicho cha marehemu afande miraji na babu chacha yule mwembamba mbona tulinyooka vilivyo hahahaa dah! Namkumbuka mwl wangu master na kenyaman malongoli hatari sauti ya simba
We katoto ulisoma wapi?Info kama zipi?