Uzi kwa waliosoma shule za jeshi-form 1&6

Pale jitegemee nikikumbuka enzi hizo ukiitwa ofisi ya nizamu ukamkuta alando umekwisha [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mi nilikuwa nina upepo nae kisa naongoza class alafu kwenye kudodge vipindi vya mkisi programme nipo pia 😆
 
Sijaon shule moja inaitwa Ruhuwiko high school shule fulan hiv ya Jwtz iliyopo mkoni Ruvum wilaya ya songea MC .... shule hii nilivyopta kusikia ni shule ya pili ikitoka makongo kwa umaarufu wake ndani ya Jeshi la wananchi...
Shule hii ilikuw n utaratibu wa kukaguliwa ma veso( kontena la kuchukulia msoc) usipokuwa nalo hauli[emoji28][emoji28] na haikuruhusiwa kugongea kwa mtu mwingine baad ya kumaliza msoc wake.... pia zoezi la kukaguliwa nywele na socks miguuni[emoji28][emoji28][emoji28].... siku ya jumatatu pale shuleni inaogopeka sana ukaguzi wa kutisha mpaka meno[emoji28][emoji28][emoji28]... siku ya ijumaa nayo ilikuwa nzur vipindi vya dini hila walimu walikuw wanafatilia na majina yaliandikwa.... muda wa prepo usiku boys na girls walitenganisha isipokuwa madarasa ya mitihani kwa ajir ya discn form 4 na kidato ya 6.... Mlete mwanao shule hii hatojutia Shule ipo
 
Wale wa manyara ranch primary school wakuje hapaa ile ilikuwaa zaidi jeshi,Simba,chui,tembo,fisi na vibwengo tuliishii nao ,mix kulala njaa na kukosaaa majii viatu vetu vilikuwa katambuga hata ukiingia class bila viatu n fresh tuu na tulikuwa tunafaulu darasa zimaa ,,,,,,,,R.I.P Mwalimu mkuu KIPOONII Masai uliyejua umuhimu wa elimuu now day kuna maboc kibao nakutana nao wamepitaa mikononi kwako
hiyo shule zaid ya jeshi ilikuwaje mkuu??
 
Sijaon shule moja inaitwa Ruhuwiko high school shule fulan hiv ya Jwtz iliyopo mkoni Ruvum wilaya ya songea MC .... shule hii nilivyopta kusikia ni shule ya pili ikitoka makongo kwa umaarufu wake ndani ya Jeshi la wananchi...
Shule hii ilikuw n utaratibu wa kukaguliwa ma veso( kontena la kuchukulia msoc) usipokuwa nalo hauli[emoji28][emoji28] na haikuruhusiwa kugongea kwa mtu mwingine baad ya kumaliza msoc wake.... pia zoezi la kukaguliwa nywele na socks miguuni[emoji28][emoji28][emoji28].... siku ya jumatatu pale shuleni inaogopeka sana ukaguzi wa kutisha mpaka meno[emoji28][emoji28][emoji28]... siku ya ijumaa nayo ilikuwa nzur vipindi vya dini hila walimu walikuw wanafatilia na majina yaliandikwa.... muda wa prepo usiku boys na girls walitenganisha isipokuwa madarasa ya mitihani kwa ajir ya discn form 4 na kidato ya 6.... Mlete mwanao shule hii hatojutia Shule ipo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ruhuwiko moko hiyooo
 
Haya wale was while za kilimo tujuane sita sahau pale korogwe girls maji shida kulinda mahindi yasiliwe na ngedere hahahaha dah palizi lazima umalize miraba yako unalia wee una nyamaza kubaki shule likizo fupi kawaida sana !
 
Huyo yeye simkumbuki labda wakina kisonga, Bosco mzee wa physics na Toto’s, Kombaa yule chiba wa kifaransa sema nilimaliza kitambo sana hata ile kantini ya coca ndio walikua wanaanza kujenga sasa wewe sijui wa mwaka gani mwenzangu?
Meja Charles Yeyeye amefariki mwaka 2002. Kama uliingia baada ya hapo ni vigumu kumkumbuka.
 
Back
Top Bottom