EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 10,576
- 16,644
Yup inasemekana traffic light nyekundu ilikuwa inawakaAlikuwa ameshaathirika, na kipindi kile ukisikia mtu ana ukimwi yaani full kumuogopa😆😆
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yup inasemekana traffic light nyekundu ilikuwa inawakaAlikuwa ameshaathirika, na kipindi kile ukisikia mtu ana ukimwi yaani full kumuogopa😆😆
Kigogo sambusa[emoji15]Mkifika uzi wa watoto waliosoma magomeni kigogo na mburahati mnishitue
Ilishawaka kitambo sana, nasikia miaka ya nyuma alikuwa motro balaa kwa wanafunzi wa kike makongo paleYup inasemekana traffic light nyekundu ilikuwa inawaka
Mi nilikuwa nina upepo nae kisa naongoza class alafu kwenye kudodge vipindi vya mkisi programme nipo pia 😆Pale jitegemee nikikumbuka enzi hizo ukiitwa ofisi ya nizamu ukamkuta alando umekwisha [emoji23][emoji23][emoji23]
Alando kasumbua wengi kumbeMi nilikuwa nina upepo nae kisa naongoza class alafu kwenye kudodge vipindi vya mkisi programme nipo pia [emoji38]
Nimegoogle maana ya hili jina lako sijaipata. Naomba uniambie ndugu, niko kwenye "oparesheni saka maana ya majina ya kiingereza" nisaidie [emoji120].
hiyo shule zaid ya jeshi ilikuwaje mkuu??Wale wa manyara ranch primary school wakuje hapaa ile ilikuwaa zaidi jeshi,Simba,chui,tembo,fisi na vibwengo tuliishii nao ,mix kulala njaa na kukosaaa majii viatu vetu vilikuwa katambuga hata ukiingia class bila viatu n fresh tuu na tulikuwa tunafaulu darasa zimaa ,,,,,,,,R.I.P Mwalimu mkuu KIPOONII Masai uliyejua umuhimu wa elimuu now day kuna maboc kibao nakutana nao wamepitaa mikononi kwako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ruhuwiko moko hiyoooSijaon shule moja inaitwa Ruhuwiko high school shule fulan hiv ya Jwtz iliyopo mkoni Ruvum wilaya ya songea MC .... shule hii nilivyopta kusikia ni shule ya pili ikitoka makongo kwa umaarufu wake ndani ya Jeshi la wananchi...
Shule hii ilikuw n utaratibu wa kukaguliwa ma veso( kontena la kuchukulia msoc) usipokuwa nalo hauli[emoji28][emoji28] na haikuruhusiwa kugongea kwa mtu mwingine baad ya kumaliza msoc wake.... pia zoezi la kukaguliwa nywele na socks miguuni[emoji28][emoji28][emoji28].... siku ya jumatatu pale shuleni inaogopeka sana ukaguzi wa kutisha mpaka meno[emoji28][emoji28][emoji28]... siku ya ijumaa nayo ilikuwa nzur vipindi vya dini hila walimu walikuw wanafatilia na majina yaliandikwa.... muda wa prepo usiku boys na girls walitenganisha isipokuwa madarasa ya mitihani kwa ajir ya discn form 4 na kidato ya 6.... Mlete mwanao shule hii hatojutia Shule ipo
Meja Charles Yeyeye amefariki mwaka 2002. Kama uliingia baada ya hapo ni vigumu kumkumbuka.Huyo yeye simkumbuki labda wakina kisonga, Bosco mzee wa physics na Toto’s, Kombaa yule chiba wa kifaransa sema nilimaliza kitambo sana hata ile kantini ya coca ndio walikua wanaanza kujenga sasa wewe sijui wa mwaka gani mwenzangu?
Meja S.K Dumba kila Jumamosi alikuwa anakuja Makongo Sec. Namkumbuka yule Mzee.Mzee Mwashala nampata sana