Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 33,092 Reaction score 96,127 Apr 6, 2022 #41 Kiokotee said: Haya Majini Yanapenda Sana Pisi kali,Poa tu nimeridhia liwe mchepuko wa My wangu! Na simuachi.. Click to expand... Kwa hiyo hilo Jini kila siku linamfumua tu my wako! Halafu wakati huo wewe uko wapi? Eti unafikia hatua ya kukata kabisa tamaa! Kama umelishindwa kabisa, basi nipe hiyo Pisi kali niilinde. Maana hakuna namna.
Kiokotee said: Haya Majini Yanapenda Sana Pisi kali,Poa tu nimeridhia liwe mchepuko wa My wangu! Na simuachi.. Click to expand... Kwa hiyo hilo Jini kila siku linamfumua tu my wako! Halafu wakati huo wewe uko wapi? Eti unafikia hatua ya kukata kabisa tamaa! Kama umelishindwa kabisa, basi nipe hiyo Pisi kali niilinde. Maana hakuna namna.
Kiokotee JF-Expert Member Joined Mar 21, 2022 Posts 1,675 Reaction score 2,211 Apr 6, 2022 Thread starter #42 Tate Mkuu said: Kwa hiyo hilo Jini kila siku linamfumua tu my wako! Halafu wakati huo wewe uko wapi? Eti unafikia hatua ya kukata kabisa tamaa! Kama umelishindwa kabisa, basi nipe hiyo Pisi kali niilinde. Maana hakuna namna. Click to expand... Haitawezekana Nimeoa ndoa kanisani kabisa ni My wangu wa Maisha! Ndio maana siwezi kumuacha.
Tate Mkuu said: Kwa hiyo hilo Jini kila siku linamfumua tu my wako! Halafu wakati huo wewe uko wapi? Eti unafikia hatua ya kukata kabisa tamaa! Kama umelishindwa kabisa, basi nipe hiyo Pisi kali niilinde. Maana hakuna namna. Click to expand... Haitawezekana Nimeoa ndoa kanisani kabisa ni My wangu wa Maisha! Ndio maana siwezi kumuacha.