Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Kwa hiyo hilo Jini kila siku linamfumua tu my wako! Halafu wakati huo wewe uko wapi? Eti unafikia hatua ya kukata kabisa tamaa!Haya Majini Yanapenda Sana Pisi kali,Poa tu nimeridhia liwe mchepuko wa My wangu! Na simuachi..
Kama umelishindwa kabisa, basi nipe hiyo Pisi kali niilinde. Maana hakuna namna.