Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,971
- 14,538
Habari zenu wanaJF wenzang
Wakuu kuanzia leo, uzi huu utakuwa unakusanya taarifa, picha, video, vituko na matukio mbali mbali yatakayokuwa yanafanyika katika kampeni za vyama mbali mbali, ili kujiandaa na uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi October mwaka huu.
Kama una taarifa, una picha, una video au tukio lolote ambalo unataka kuliweka hapa JF ili lifahamike basi karibu uliweke tulione na kulijadili.
Karibuni sana!