Uzi Maalum kwa ajili ya kupeana Salamu na Heri za Christmas na Mwaka Mpya 2026

Salamu kwako mkuu.
Sipokei salamu hizo.

Sababu sikuu ya Christmas ni ibada ya Kikiristo ,na ni maadhimisho ya kuzaliwa kwa Mungu kutokana na Imani za Wakristo.

Sasa kutoa na kupokea salamu , ni sawa na kusherekea na kufurahia happy birthday ya Mungu ambapo kutokana na Imani ya Waislamu Mungu hajazaliwa wala hana Mwana .
 
Huu uzi ni wakutakiana heri za Christmass na mwaka mpya 2026

Salam nilizokupa ni za mwaka mpya ambao unatumika kwenye shughuli za kidunia pia,

MImi ni muislamu but don't take things too serious,hata kumsalimia mtu kwa Christmass,kwangu mimi ni poa tu But huu uzi ni wa New year pia.
 
Back
Top Bottom