Harmful
JF-Expert Member
- Feb 23, 2025
- 5,985
- 21,212
Binti wa zamani tumalize tofauti zetuHata mi sielewei ndugu yangu😅
Binti wa zamani tumalize tofauti zetuHata mi sielewei ndugu yangu😅
Ikawe kheri kwako pia Vinnie,Natuma salamu kwa watu hawa 😎
Carleen
Depal
Mr Q
dosho12
Angel Nylon
Binti wa zamani
secretarybird
Cookie
ephen_
min -me
Joanah
Fake P
Kwan niliteleza wapi 😅😹😹Ndo kavunga kabisa
Binti wa zamani
Naaam
OKHuu uzi ni wakutakiana heri za Christmass na mwaka mpya 2026
Salam nilizokupa ni za mwaka mpya ambao unatumika kwenye shughuli za kidunia pia,
MImi ni muislamu but don't take things too serious,hata kumsalimia mtu kwa Christmass,kwangu mimi ni poa tu But huu uzi ni wa New year pia.
Wamekudanganya, ila leo nimechoka, huu ugomvi utaendelea kesho 😅
mbona wana Chaputa Ume wasahau?Nawatakia wanajf wote sikukuu njema.