Uzi Maalum kwa ajili ya kupeana Salamu na Heri za Christmas na Mwaka Mpya 2026

Nashukuru sana mwamba wewe ni mtu muhimu sana bwashee
Pamoja na kwamba nakutaniaga ila hii comment yako imenifurahisha maana wengi hapa jukwaani tulijua Samuya alishakufanyia yake ile 29/10.

Binafsi nina furaha tele kuona upo tena JF jamaa yangu kama ambavyo niliingia furaha baada ya kumuona Lamomy .

Karibu tena JF bro.
 
Maandalizi mema na mkasherekee vyema sikukuu za mwisho wa mwaka members wote na uongozi mzima wa jamii forums ukiongozwa na mkuu sana ndugu Maxence Melo

Napenda kupendekeza kama itawezekana uongozi wa jamii forums uandae namna yeyote nzuri ya kuweza kuigusa jamii ya wahitaji hasa kipindi hiki. Kwa mfano kula na kunywa, kutoa msaada kwa baadhi ya makundi ya wahitaji kama vile wazee, yatima, walemavu n.k
Mods kama itapitishwa tunaomba mtuwekee utaratibu mzuri ili tuweze kushiriki kidogo chetu na ndugu zetu/jamii.

NAWASILISHA
Paw Active Jamii Opportunities JamiiForums
 
Lazima Jf waluzingatie wakupe hata kitengo
 
🥶
Screenshot_20251225-084728~2.jpg
 
Screenshot_20251225-083745.jpg

HERI YA CHRISTMAS NA MWAKA MPYA 2026 KWA RAZIEL-13,LEFTIES NA INTROVERTS
 
Back
Top Bottom