Pre GE2025 Uzi maalum kwa taarifa zote kwa wanaomuunga mkono Rais Samia 2025

Pre GE2025 Uzi maalum kwa taarifa zote kwa wanaomuunga mkono Rais Samia 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Precious Diamond

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2023
Posts
593
Reaction score
1,376
Wakuu mko vyede,

Kukutana na manyuzi kibao kusema zinaunga mkono juhudi za mama inakata stimu, halafu unakuta ka uzi kenyewe kana mistari mitatu iliyojaa kusifia mwanzo mwisho.

Nyuki wa mama naomba wote mtumie uzi uzii kuweka mapambio yenu ya kuunga juhudi za mama, yoyote anayetaka kujua nani anaunga juhudi antakuwa anapitia tu uzi huu.

NOTE: Mods naombeni msifute huu uzi, badala yetu nyuzi zote za watu wanaounga mkono Rais Samia 2025, sijui kuunga juhudi zote ziwe hapa, haina maana ya kuwa na vinyuzi vingivingi kwaajili ya hilo.
 
Naomba kuuliza swali, mbona mmeanza kampeni mapema hivi?. Kuna shida gani?. Kwa Katiba ya Tanzania hata mama Samia h asipopiga kampeni bado atatangazwa mshindi. Sasa kwanini mnahangaika hivi wakati bado mwaka mmoja na miezi nane tuanze kampeni za uchaguzi mkuu?
 
Back
Top Bottom