Uzi maalum kwa 'vitu used'

Uzi maalum kwa 'vitu used'

Mtungi na pipe yake
55,000
IMG-20180917-WA0013.jpg
 
Sema bado unauza ghali mkuu kwa usawa huu ukizingatia ni used, mfano hicho kitanda na godoro used sio fair kabisa kwa hyo price ukizingatia kitanda chenyewe ni very low quality na godoro pia ni poor.
 
Kabati unaweza ukatumia kwa matumizi mbalimbali
170000 wa kwanza atapata ofa nono
Lipo sinza mori
20180918_123331.jpg
20180918_123354.jpg
 
Back
Top Bottom