Uzi maalum kwa 'vitu used'

Uzi maalum kwa 'vitu used'

Asante mkuu kuna watu wengi hawajui bei za vitu lakini wanawahi kulalamika vitu vina bei kuliko vipya ..

Godoro la inch 8 linaenda 270 hadi 300
Bado watu wanaona bei Ni kubwa kuliko dukani

Rai yangu.. kama hujui bei ya kitu kipya uliza kwanza kuliko kucomment Kama Una uhakika.. Kufanya hivyo Ni kupoteza sifa ya muuzaji
Acha sound wewe!! hujui bei ya godoro wewe inaonekana bado upo kwa wazazi.
 
PC
Ram 2
Processor 1.28
Internal 250 GB
Type Lenovo
Medium
Price 220k

IMG-20180913-WA0013.jpg
IMG-20180913-WA0009.jpg
 
Wako wanaonunua Kama unaona bei kubwa kanunue mpya pia hatuwezi kuacha kuuza vitu kwa sababu wewe unaona Ni bei kubwa
Nawewe acha tamaa ya kuuza vitu bei.
Nakushauri fanya Tathmini ya bei ya soko kwanza kabla hujaropoka bei zako..
Kama godoro ulipost kwa bei ya dukani,kwakifupi unaondoa maudhui ya Bandiko lako
 
Back
Top Bottom