Uzi maalum kwa 'vitu used'

Uzi maalum kwa 'vitu used'

Naitaji madirisha used fut 5 kwa 5, na from ya mlango
 
Nahitaji mashine ya mazoezi ya kukimbia, ni PM mwenye nayo
Mkuu ninayo imetoka abroad mashine ya maana kabisa njoo dm tuyajenge mkuu 0765873325
IMG_20100101_053750_3.jpeg
 
Used Abroad

Kompyuta inauzwa 200K,

Ipo Complete na haina Tatizo lolote.

Nichek Kwa 0788145648 Karibu Tufanye Biashara

Napatikana DSM

HDD: 500 GB
RAM: 2 GB
IMG-20191006-WA0005.jpeg
IMG-20191006-WA0011.jpeg
 
Mwenye adapter ya hp used yenye v19 anistue
 
Back
Top Bottom