Uzi maalum kwa wale tunaoshindwa kufanikiwa kimaisha hata tukipata hela zinayeyuka

Uzi maalum kwa wale tunaoshindwa kufanikiwa kimaisha hata tukipata hela zinayeyuka

Kujifunza kuwekea kila hela malengo ni jambo la msingi
Ukiona umeahirisha lengo na huna biashara ya kuwekeza basi iwahishe kwenye akiba maalumu isikushawishi
Akiba haiozi!
ila na nyie mnatumalizia ela zetu jamani ha ha hatuna ujanja kwenu
 
fixed account ndio mkombozi hata ukiwa na shida ya kufa uitoi
Yap
Mana si wote wenye biashara ukaongeze mtaji

na ukipata hela hata kabla hujapata weka malengo ya hio hela na akiba na any excess wahisha ifiche huko
Ulobaki nayo do something fast..ubaki na ile hela ya maisha ya kila siku
 
mwaka 2015 nililipwa ela yangu flani kama m2 ya kujikumu nilipiga yote mtungi haya mambo usiombee na ujana pia inataka hekima sana
 
Yap
Mana si wote wenye biashara ukaongeze mtaji

na ukipata hela hata kabla hujapata weka malengo ya hio hela na akiba na any excess wahisha ifiche huko
Ulobaki nayo do something fast..ubaki na ile hela ya maisha ya kila siku
Mm account yang ni ile ya bonas Sasa huwaga nijisemea mwenyew fixed ya Kaz gan wakat hata nisipoweka bado Kuna kafaida bank wananipatia
 
Pombe tu na starehe zinazoendana na pombe ndicho kikwazo tunachokutana nacho.
Tutabisha lkn moyoni tunakubali kiaina.

Kuna mambo nilikuaga nayaendekeza sana then nikastop kuyafanya for a year,nilichofanikiwa kukifanya ndani huo mwaka 1 nilio stop kingenichukua miaka 3.5 mpk 4 wkt nafanya life style yangu ile

Nb😛ombe sio mbaya,ubaya ni vichwa vyetu.

Sent from my SM-J700H using Tapatalk
 
mimi nilikuwa kwenye ushetani huo miaka 4 nilivyoajiliwa salary ilikuwa napiga mitungi after few days ela inakwisha maendeleo amna nilipshtuka mpaka Mungu aingilie kati lakini ni lazima upitie hivyo ili ukija kukaa sawa uzingui tena,nilinunua kiwanja ni kakaa miaka 3 bila hata kuweka tofali kwa sababu ya bata any way tushtuke muda unakwenda sana
Mtungi umelostisha watu wengi sana,ukifanikish ku-control Mtungi+Nyapu na ukasimamia msimamo huo baada ya muda kidogo unajionea utofauti wa maisha.

Sent from my SM-J700H using Tapatalk
 
Tutabisha lkn moyoni tunakubali kiaina.

Kuna mambo nilikuaga nayaendekeza sana then nikastop kuyafanya for a year,nilichofanikiwa kukifanya ndani huo mwaka 1 nilio stop kingenichukua miaka 3.5 mpk 4 wkt nafanya life style yangu ile

Nb😛ombe sio mbaya,ubaya ni vichwa vyetu.

Sent from my SM-J700H using Tapatalk
kaka mm nilikuwa na shida moja fedha nitakayo enda nayo bar ilikuwa ni lazima niimalize kuna jamaa mmoja ni boss wangu akanichana akaniambia kijana unapotea mm nina mshahara mara 2 zaidi yako lakini nina displin ya ela ww ukiwa bar unataka kutamba maneno hayo yalinichoma sana tubadilike tufanye maendeleo kijana wa kisasa ni lazima uwe na nyumba na kagari of course
 
Mtungi umelostisha watu wengi sana,ukifanikish ku-control Mtungi+Nyapu na ukasimamia msimamo huo baada ya muda kidogo unajionea utofauti wa maisha.

Sent from my SM-J700H using Tapatalk
kweli broo nyapu zimekula sana ela zetu
 
Mimi mwaka huu napata madili ya pesa ila pesa inayeyuka. Juzi tu hapa nmepata dili la mi2. Narud kutoka kufanya kaz gar engine ikanok. Io m2 ikaishia kununua engine nyingne. Kbla ya hapo nimefuruluza wiki mbili na napata viajar vidogo vya kukwangua gar na kupaka rangi tena. Nmejikuta hata bank nmemalza pesa yte.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
upepo tuu huo utapita wanaita week ya kimavi
 
nilipata 50m .....25m nikanunua viwanja viwili tofauti vya nyumba na kuweka misingi ... 5m bata , 20m ikazama kwenye kilimo,forex na mambo mengine ya online yanayofanana nayo..pambaf kabisa....sasa mwaka wa tatu natumbua macho kwenye ile misingi miwili ya nyumba
 
Back
Top Bottom