Uzi maalum kwa wale wanaomuamini Mungu muumba

Uzi maalum kwa wale wanaomuamini Mungu muumba

Mungu muweza wa yote, mwenye mapenzi kemkem, aliyepo mahali kote kwa wakati wote, na tararira zingine kama hizo, mpaka hivi sasa mungu huyo hakuna ushahidi wa uwepo wake.

Hilo mkubali mkatae, ndo ukweli wenyewe huo.

Huyo mungu mnayedai yupo anafeli mitihani midogo na myepesi sana ya maswali ya kawaida kabisa.

Jana/ leo imeletwa habari humu kuwa kuna mchungaji huko Ethiopia kauliwa na mamba ziwani alikokuwa anawabatiza sijui waumini wake wale.

Huyo mchungaji alikuwepo hapo ziwani akifanya kazi ya ki-mungu. Na nadhani ni haki nikimuita huyo mchungaji kuwa ni 'wakala' wa mungu.

Sasa huyo mungu alikuwa wapi kumnusuru kifo huyo 'wakala' wake? Iweje huyo mungu akampa akili na uwezo huyo mamba wa kumshambulia huyo 'wakala' wake huko ziwani hadi kumuua?

Sijawahi hata kuparuriwa na paka lakini nadhani kung'atwa na mamba hadi ufe kunauma kweli kweli.

Huyo mungu alishindwa nini kumnusuru huyo 'wakala' wake kuepuka hayo maumivu?

Ukweli ni kwamba mpaka hivi sasa hakuna ushahidi wa huyo mungu. Kilichopo ni mambo ya kufikirika tu, au waweza kuyaita 'imani'.

Kwa hiyo, kwangu mimi, mpaka hivi sasa huyo mungu ni kiumbe msasili [mythical figure].

Hakuna ushahidi unaothibitisha, unaotosha, na unaohitimisha kuhusu uwepo wake.
Jibu kwanza reasons za mtoa mada kwanza bas ndio tuendelee na mamba
 
Huu ni ukorofi wa wazi kabisa umeambiwa huu ni Uzi special kwa wale wanaomuamini Mungu. Sasa wewe usiemuamini sijui unatafuta nini humu!?

This is an open forum. Any topic that I come across is fair game. You don’t want some of us to chime in, take it somewhere else where only the like-minded will contribute.

Afu unasema tumwambie Mungu wetu akuue..kama Kova mwenyewe hafanyi kazi kwa unlawful orders kama zako basi Mungu wetu ni zaidi... Hawezi kufanya Kazi kwa unlawful order zako hizi chief.

Sijasema popote huyo mungu wenu aniue. Hana ubavu wa kufanya hivyo kwa sababu hayupo.
 
sasa mtoa mada si kasema "uzi maalum kwa wanaoamini uwepo wa mungu" nyie msioamin mnataka nini humu kama si kutojiamin hata wenyewe na mnachosimamia?
Kwa sanabu huyo Mungu wenu anasema.anapenda kila mtu
 
Mungu yupo ila si huyu mnaedanganywa kwenye maandiko. mengi anasingiziwa wala hahusiki nayo.
 
Mungu hayupo. Angekuwepo tusingekua tunapata shida hizi Duniani.

Na kama yupo na akatengeneza haya matatizo basi hana akili.
Vitabu vya dini karibu vyote vinasema kuwa wenye dhambi wote wataenda motoni, tena ni moto wa milele usioisha. Huwa najiuliza sana huyu Mungu ni katili kiasi gani? Wakati tunaelezwa kuwa yeye ana upendo na huruma.
Sometimes haya mambo yanachanganya sana!
 
Humble African kongole kwa maelezo murua. Mimi pia ninaamini uwepo wa Mungu. Nilizaliwa ktk familia ya kiislamu yenye imani ya wastani.
Binafsi, ninaamini Mungu yupo ila si kwa mapichapicha ya dini zetu. Bado nipo ktk kutafiti na kutathmini zaidi kabla ya kujikita ktk kutekeleza ibada na sheria za dini niliyojikuta nimezaliwa nayo. Kwangu mimi muislam anayemuita asiye muislam 'Kafir' namuona mbwa tu. Who are you to judge? Na kwa anayeamini sijui wayahudi ni taifa teule naye namuona kima tu. Ifike wakati tuamini uwepo wake kwa black identity.
 
Back
Top Bottom