Dalili kubwa kabisa na ya pekee inayoweza kukufanya ujue kama Mungu yupo, (ambayo isipokutokea katika maisha yako, huwezi kujua kuwa Mungu yupo hata kama ungeishi miaka million 3), ni hii hapa: ni pale tu inapotokea unakuja kugundua kuwa matukio karibia yote uliyokuwa unayaona katika maisha yako kuwa ni coincidences, hazikuwa coincidences na yana conform to a certain very well organised pattern, na ya hali ya juu sana kuonyesha kuwa yalikuwa deliberately planned but by no one you know of in this world, except that either nature au someone special, na yamekuwa organised katika namna ambayo hata wewe mwenyewe ungeambiwa uyapange kwa utaalamu huo, usingeweza.
Sasa ukirudi kwenye nature, yenyewe haina organised pattern, ina random pattern au coincidences tu na ndiyo maana inapotokea kuna pattern somewhere inabidi watu wafanye utafiti, kwa mfano the most poular
case of the Bermuda Triangle, watu walishtuka baada ya kuona kama kuna pattern ikabidi waanze kufanya utafiti. Nature huwa haina organized pattern na ukikuta kuwa organized pattern ipo, na katika matukio ambayo ni natural kwa maana kwamba si binadamu anayehusika wala si nature inayohusika, then huyo ni Mungu. Hiyo ndiyo revealation pekee hapa duniani inayoweza kukufanya u-confirm uwepo wa Mungu.
Revealation ya namna hii huwa inatokea kwa kila binadamu ila uwezo wetu wa ku-capture scenes za namna hii ndiyo tunaotofautiana kwa kiwango kikubwa sana, lakin the best thing ni kwamba kila mwanadamu anao. Hata hivyo, mwingine anakuwa ana uwezo mdogo mno wa kuona pattern from a mixed set of several coincidences na hii ndiyo inakuwa shida, hawezi akaja aka-discern uwepo wa Mungu hata angeishi miaka billion 10!
Kwa mfano Kanisani kuna kitu kinaitwa Ujazo wa Roho Mtakatifu. Watu walioko kanisani wana-enjoy karama hii kwa viwango tofauti tofauti , hawafanani, na kulingana na wanavyoamini ni kwamba wale ambao hawako Kanisani hawana karama hii. Still, utafiti wangu umekuja kunionyesha kuwa watu wote wana Karama hii, isipokuwa inakuwa enhanced zaidi kwa mtu anayeenda Kanisani ukilinganisha na yule ambaye huwa haendi. Lakini hata wale ambao wamo Kanisani, wanaipokea kwa viwango tofauti tofauti, hawalingani. Na kwa wale ambao huwa hawaendi kabisa makanisani walishaibatiza jina MACHALE, bila kujua kuwa ni Roho Mtakatifu!
By the way, let me pose a fundamental question to you. Hapo ulipo sasa hivi kuna vitu physical vimekuzunguka, ambavyo si viumbe hai. Vyote ni kazi ya mikono ya wanadamu. Je, kwa vile ambavyo si kazi ya mikono ya wanadamu ukiwemo wewe mwenyewe, ni kazi ya nani?
cc:
Kiranga